Pre GE2025 Kahama: Paul Makonda ataka Caroline apewe eneo la Serikali, Mkurugenzi asema kumiliki Ardhi ni jambo la kisheria sio siasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
 
Mtu kama anafanya vizuri na ameimuda Halmashauri kwa ushahidi huu wa kasi ya maendeleo napendekeza abaki hapahapa mpaka Kahama iwe jiji
Mkuu Kahama kuwa Jiji ni ndoto.

Sababu ni moja tu, kwamba Kahama siyo Makao Makuu ya Mkoa.

Sheria ya Mamlaka za Serekali za Mitaa (Miji na Majiji) inatamka kwamba moja ya vigezo vya eneo la utawala kupandishwa hadhi na kuwa jiji ni pamoja na eneo husika kuwa Makao Makuu ya Mkoa.

Ingekuwa kwamba kila Wilaya inaweza kuwa jiji basi Manispaa za Ilemela, Ubungo, Temeke, na Kinondoni zingekuwa Majiji zamani, ila kwa kuwa Ilala ndipo yalipo Makao Makuu ya Mkoa wa Dar es Salaam ndiyo maana Ilala ni Jiji.

Kinyume chake ni kwamba Manispaa ya Shinyanga ndiyo yenye kigezo kikuu cha kuwa jiji kwa sababu ni makao makuu ya mkoa.

Labda kama baadaye iwapo Shinyanga itakuja kugawanywa na Kahama ikaangukia kuwa Makao Makuu ya Mkoa, basi itakuwa imeingia moja kwa moja kwenye kigezo kikuu cha kuwa Jiji.
 
Sio kwanza Kahama yenyewe iwe Mkoa na Jiji hapohapo?

Sheria inasemaje hapo?
 

Haya ni maswala ya kawaida kwa Halmashauri kutembeleana...siyo kwamba Kahama ni special saana kwamba ndiyo Manispaa ama Halmashauri pekee inayotembelewa.

Mwanza walienda Ubungo Manispaa👇👇


Tanga Jiji nao
👇👇👇

Ubungo Manispaa nao wakaenda Arusha Jiji👇👇👇
 

View: https://www.instagram.com/p/C0BfJTWs1U8/?igsh=MTZmejBrYnZnbXh3MA==
Nilikuwa napitia hii akaunti ya insta nimekubali Kahama kazi inafanyika
 
Sio kwanza Kahama yenyewe iwe Mkoa na Jiji hapohapo?

Sheria inasemaje hapo?
Rejea kisa cha Chato kuwa mkoa. Ninadhani sihitaji kulidadavua hili maana Watanzania wengi wanalifahamu.

Jambo la msingi, ni vigumu sana kugeuza wilaya kuwa Mkoa. Sababu ni moja kwamba, utaanza kuhitaji kumega baadhi ya maeneo ili kukidhi haja.

Ila, kwa mfano, ukitaka Mkoa unaitwa Kahama, usianze kusema unataka/mnataka Kahama iwe mkoa. Hii itaanza kuleta makelele kama ilivyokuwa kwa Chato. Badala yake ijengwe hoja kwamba Majimbo ya Ushetu, na Msalala yawe Wilaya na au Shinyanga igawanywe.

Cha kuzingatia ni kurudi kwenye sheria ambayo inatoa mamlaka kwa Rais kugawa nchi na kuunda mikoa kama alivyounda Njombe, Geita, Simiyu n.k ambapo sheria imeweka vigezo vyake. Na hili huanzia kwenye mabaraza ya madiwani hadi ngazi ya mkoa.
 
Kahama inaweza kuwa Mkoa kirahisi sana ,

Tayari inawilaya Tatu,

1. Msalala

2. Ushetu

3. KAHAMA MUNICIPAL

KAHAMA KUWA MKOA NI RAHISI SANA ILA SHY NDIO ITAFIFIA SANA
 
Nimesoma hili andiko toka kwa raia kwenda kwa Makonda nimejifunza yafuatayo:-

1. Nikweli kwamba Mhe Makonda Kuna watu wanam-fake na huenda akafanya maamuzi mengi biased,

2. Nikweli kwamba Mkurugenzi wa Kahama ni mtu mchapakazi na muadilifu,

3. Nikweli kwamba Kuna watu wanampatia malalamiko ambayo tayari yameshafanyiwa kazi na mahakama na hivyo hayawezi kubadilika,

4. Watu wa Kahama wanaimani zaidi na Mkurugenzi pengine kuliko Mbunge,

5. Watu wa Kahama wanaridhika na kazi nzuri inayofanywa na CCM chini ya huyu Mkurugenzi,

6. CCM itashinda Uchaguzi mapema sana kwa utekeleza huo wa Ilani ya CCM,

7. Watu wa Kahama wanataka kasi ya maendeleo iendelee chini ya Mkurugenzi huyo huyo,


Karibu mwingine,
 
Pumbafu kabisa. Ungeandika bila kuweka ''mhe'' kila mstari huoni hoja yako ingesomwa na wengi?
 
Pumbafu kabisa. Ungeandika bila kuweka ''mhe'' kila mstari huoni hoja yako ingesomwa na wengi?
Punguza makasiriko hata kama humpendi Mhe Paul Makonda huwezi kukwepa kuwa yeye ni "Mhe" tu

Mbona wewe umesoma mpaka mwisho?
 

Ila chawa mna mambo, hili andiko lote Lina tone zote za kichawa. Yaani ni kujipendekeza mwanzo mwisho. Kila mahali muheshimiwa, kama sio kujipendekeza ni Nini?
 
Punguza makasiriko hata kama humpendi Mhe Paul Makonda huwezi kukwepa kuwa yeye ni "Mhe" tu

Mbona wewe umesoma mpaka mwisho?

Toka lini muhalifu akawa muheshimiwa? Nyie ndio huwa mnashikishwa ukuta kwa kujipendekeza. Inshort peleka ukhanithi mbali.
 
Kahama inaweza kuwa Mkoa kirahisi sana ,

Tayari inawilaya Tatu,

1. Msalala

2. Ushetu

3. KAHAMA MUNICIPAL

KAHAMA KUWA MKOA NI RAHISI SANA ILA SHY NDIO ITAFIFIA SANA
Kahama inaweza kuwa Mkoa kirahisi sana ,

Tayari inawilaya Tatu,

1. Msalala

2. Ushetu

3. KAHAMA MUNICIPAL

KAHAMA KUWA MKOA NI RAHISI SANA ILA SHY NDIO ITAFIFIA SANA
Kahama inaweza kuwa Mkoa kirahisi sana ,

Tayari inawilaya Tatu,

1. Msalala

2. Ushetu

3. KAHAMA MUNICIPAL

KAHAMA KUWA MKOA NI RAHISI SANA ILA SHY NDIO ITAFIFIA SANA

Msalala ni Halmashauri inayojitegemea

Pia Ushetu ni Halmashauri inayojitegemea..
Japo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kahama anaweza akawa ndiye anatawala eneo lote ama baadhi ya maeneo (sina uhakika)
 


Makonda ameshaidharau mifumo ya nchi hii maana anajua ni uchafu mtupu. Kama enzi zake na dhalimu magu walikuwa wanaagiza vyombo vya Dola na taasisi za kimamlaka kukomoa watu wasiowapenda, na kupora chaguzi, na bado wakatii, unataka aagize watu waende mahakamani kupoteza muda? Anachokifanya Makonda ni kupigia tick kile kilio chetu Cha muda mrefu kuwa Sheria zinatekelezwa kwa kufuata amri toka juu, na sio Sheria zitakavyo.
 
Msalala ni Halmashauri inayojitegemea

Pia Ushetu ni Halmashauri inayojitegemea..
Japo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kahama anaweza akawa ndiye anatawala eneo lote ama baadhi ya maeneo (sina uhakika)
Wilaya tatu zinaweza kuunda Mkoa ni kweli
 
Ila chawa mna mambo, hili andiko lote Lina tone zote za kichawa. Yaani ni kujipendekeza mwanzo mwisho. Kila mahali muheshimiwa, kama sio kujipendekeza ni Nini?
Makonda ni "Mhe" hata kama humpendi brother
 
Mimi mwenyewe namuelewa sana MD. Ana maono makubwa sana, jamaa ana experience na exposure. Dakika 15 tu nilizokaa naye nilimuelewa
 
Makonda ni "Mhe" hata kama humpendi brother

Huyo ni mfungwa mtarajiwa, watumwa wa ajira kama ww ndio mnnaona ni muheshimiwa. Nyie ndio wale mnaopakatwaga kwa kuwashobokea wanaume wenzenu. Shubaamiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…