Pre GE2025 Kahama: Paul Makonda ataka Caroline apewe eneo la Serikali, Mkurugenzi asema kumiliki Ardhi ni jambo la kisheria sio siasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Inaonekana wazi kuwa wewe ni mlaji namba moja
 
ccm ndivyo walivyo. Yaani ukiwasha TV au redio ni uchawa tu!.
Kila mwanachama anataka kumfuraisha wa kwake!
 
Drama zenye Episodes bwelele...
ChukuwaChakoMapema ukikaribia UCHAGUZI ni vituko!
Mara vijana zingatieni AMANI!
Mara dunia nzima inapitia wakati mgumu kama dhoruba la COVID, vita Ukraine na Russia, Israel na Palestine!
Tatizo VIGOGO WAKO KWENYE RAHA, SHIBE, STAREHE, PEPONI!
WANA UOGA WA KUYAPOTEZA HAYO YOTE!
TUSUBIRI TUONE...
 
Huyo ni mfungwa mtarajiwa, watumwa wa ajira kama ww ndio mnnaona ni muheshimiwa. Nyie ndio wale mnaopakatwaga kwa kuwashobokea wanaume wenzenu. Shubaamiti.
Why msimfunge kwanza Mbowe kwa kuwazunguka na kuchukua pesa kwa Samia?
 
Why msimfunge kwanza Mbowe kwa kuwazunguka na kuchukua pesa kwa Samia?

Umeona nani anamshobokea Mbowe kwa kumuita muheshimiwa Kila baada ya sentensi Moja? Narudia tena, utakuja kupakatwa, ww lazimisha tu kutembea na kanga Moja hadharani.
 
Suala ni bi caroline alipataje eneo unaloita la serikali? Tokea lini serikali ikanyang’anywa eneo na mwananchi?

Huyu mkurugenzi sifa zote hizo zimeingiaje kwenye huu uzi wa Bi caroline? Kwa nini usingesema namna huyo mama alivyopata hilo eneo badala ya kujaza paragraph za kumsifia mkurugenzi?
 
Mimi mwenyewe namuelewa sana MD. Ana maono makubwa sana, jamaa ana experience na exposure. Dakika 15 tu nilizokaa naye nilimuelewa
Halafu is very humble tatizo la nchi watu wazuri kwao ni maadui namba moja
 
Nadhani Caroline ndio aliyemtuhumu MD Sasa amepataje jibu hajapata ndio maana analalamika
 
Umeona nani anamshobokea Mbowe kwa kumuita muheshimiwa Kila baada ya sentensi Moja? Narudia tena, utakuja kupakatwa, ww lazimisha tu kutembea na kanga Moja hadharani.
Mtoeni kwanza kwenye uenyekiti kama kweli mko serious tuanzie hapo
 
Mkurugenzi wa Kahama ndio Mkurugenzi pekee namwamini kwenye Taifa hili namwombea Mungu amlinde na azidi kuipaisha Kahama na Tanzania yetu
 
Kupitia kwa huyu Mkurugenzi nimejifunza kitendo Cha kuwahamisha Viongozi hasa wa kuteuliwa Kila siku kumechelewesha sana maendeleo ya Taifa hili,

Unakuta Mkurugenzi tayari ana work plan yake mara paap analazimishwa kuhama au kuondolewa,

Unaweza ukaona kitendo Cha huyu Mkurugenzi wa Kahama kutulia hapa Kahama kwa muda mrefu kumeifanya Kahama iwe ilivyo,

Nashauri Mamlaka za Uteuzi kama Kuna mtu anafanya vizuri aachwe afanye hapohapo kwa muda mrefu ila tu asiwe mwizi au mbadhilifu wa mali za serikali,

Mungu ibariki Tanzania
 
Mimi nilishaandika Hadi waraka wakati wa JPM hamisha hamisha za viongozi wa kuteuliwa zinamadhara mengi kuliko faida,

1. Gharama za kumuhamisha mtu

2. Mipango yote iliyoanziahwa inaachwa kwa mtu asiyeijua au asiye na hobi nayo,

3. Utulivu unakosekana hasa kwa muhusika kuwa mbali na familia wakati wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…