Uchaguzi 2020 Kahama: Polisi wapiga mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi waliojaa nje ya hotel aliyofikia Tundu Lissu

Sijui nani aliwatuma ila kuwapiga mabomu kunaweza kuwafanya wengine nao wakusanyike kesho akienda eneo lingine.
Kuna sharia inayoregulate mikusanyiko, kama na wengine watakusanyika bila kufuata taratibu watapigwa mabomu, wataumizwa mwisho wa siku Mwanasiasa yeye anaendelea kuneemeka
 
Labda walikua wanaleta fujo sidhani kama polis anaweza react bila mwananchi kulianzisha,lazima watanfaziwe kwamba wanapaswa kutawanyika kutokana na usalama ,michadema in mikorofi na mijeuri inahis kuoneewa muda wote
 
munawaza ngono tuu kama bosi weni...mara munipe mweupe ,mara taoa mke wapili zanzibar nonsense
Angalia usije ukaenda kwenye fujo za wahuni wa Lissu utabakwa dada kuwa makini.
 
Labda walikua wanaleta fujo sidhani kama polis anaweza react bila mwananchi kulianzisha,lazima watanfaziwe kwamba wanapaswa kutawanyika kutokana na usalama ,michadema in mikorofi na mijeuri inahis kuoneewa muda wote
Angepigwa mama ako usiongea huu upuuzi
 
..WHY?

..Hao watu usiku ukizidi kuingia wataondoka wenyewe.

..Polisi wetu hawana akili kabisa.
Hao polisi wanamsaidia mgombea wenu. Kahama kuna mijizi kibao. Wanavamiaga watu kwenye nyumba za kulala wageni.
 
Never on earth and heaven has suppression ever succeeded.
 
Dakika za majeruhi hizi akuna kubembeleza ni kichapo tu.
washamfikisha hotelini na awataki kuondoka,wanataka Lissu adhuriwe alafu lawama zije jeshi la polisi.
huo umatiwote kama kunawatu wabaya wasio na nianjema jeshi la polisi litaamini vipi?na kiza kinazidi kiongezeka na watu awataki kuondoka.
 
Kuna sharia inayoregulate mikusanyiko, kama na wengine watakusanyika bila kufuata taratibu watapigwa mabomu, wataumizwa mwisho wa siku Mwanasiasa yeye anaendelea kuneemeka
Unafikiri Kuna udhalimu utaachwa kimya mwaka huu??? Watu wanakusanya ushahidi tu. Mtajua hamjui mwaka huu. Subirini tu
 
Mungu anajua kuwapiga chenga wanadamu wanaojikweza . Chama kilicho dhaniwa kimekufa , kina musiba kuwa na mashiko na hoja zao , wana ccm kujinasibu kuwa watashinda . mitandaoni wanakuwa na hoja za kushawishi na kwa kweli zilikuwa zinavutia , hata kuweza kushawishika . tbc kutumika vilivyo , tumbua tumbua ya site ikiwa ni ngoma inayochezwa kwa mdundo na style mpya .

sasa ghafla kimbunga kimegeuka , wanahisi kulikoni! nani kaleta haya! , kwa nini watu wanawasikiliza chadema . Huku juhudi kubwa tumeelekeza katika miaka mitano kuwasambaratisha ....... let me tell you ccm my part .

kumbuka tu ukikataa kusema yasiyosemwa na usiposema yasiyosemwa huwezi kuitoa nchi katika mkwamo.... Watanzania wanataka hayo yasiyo semwa . hii ni falsafa ya kisaikolojia . Unayoyakataa ujue ni wewe halisi , unayotuonyesha si wewe .
 
Wachapwe na hao wa CCM!
 
Nachowapendea polisi ni kuihujumu ccm ichukiwe kwa kuwaonea wapinzani
 
Ni ujinga tu, wakitaka wafikie ofisi za chama za mkoa au wilaya ili waepushe kusumbua wateja kwenye biashara za watu
Ni kweli. Mwisho wa siku wenye hoteli watakuwa wanakataa kuwapokea, kisha wao watasema ni maelekezo toka juu.
 
Mbona hayo maanadamano hafanyi huko.ikungi ambako ndo kwao?
Yeye anataka watoto wa wengine ndo wapate shida?
Kwani akiwambia wasambae nani atamzuia
Baba mwenye hekima huongoza nidhamu katika familia yake. Kiongozi mwenye busara ni mwenye kusimamia nidhamu katika taasisi yake, maana huo ni mhimilI katika ufanisi wa taasisi hiyo.
 
Kwani wamemuumiza nani kama wamekusanyika kwa amani tu?
Nyie endeleeni na fiesta zenu tu lakini kura kwa Lisu
mnaendaje kukusanyika kwenye biashara ya mtu? watu wamepumzika vyumbani nyie mnapiga regge na kuvuta bhange, nasikia mwenye hotel ndio aliita polisi baada ya wateja kulalamika mioshi ya sigara na kelele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…