Hivi ni kwa nini watu wakishakuwa wengi tu linakuwa tishio kwa watawala? Yeye mwenyewe alitoa ruhusa ya watu kuzaliana kadiri wawezavyo. watu wameitikia wito wa kuzaa na tumekuwa wengi lakini sasa wingi wetu inakuwa ni tishio kwa watawala badala ya kuwa mtaji wa kura na maendeleo. Hofu ya nini?Amani wakati unasikia watu wamepigwa mabomu na risasi, hivi unajua kusoma au unaangalia picha tu?!
Nimeipenda sana kauli mbiu ya Chadema. "Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu". Hivi kauli mbiu ya CCM ina maana gani kusema "Hapa kazi tu". Ina maana hata kulala hatulali, kula hamna, kupumzika hamna, kusali na kuswali hamna, kila kitu hakuna ila ni Kazi tu. Kwani sisi tumekuwa maroboti?Wa Leo sio wa jana,haki kwanza ndipo amani ufuata
Loh! Huo wito wa juzi ndio washakuwa wakubwa hivi wanafanya maanadamano! Maajabu.Hivi ni kwa nini watu wakishakuwa wengi tu linakuwa tishio kwa watawala? Yeye mwenyewe alitoa ruhusa ya watu kuzaliana kadiri wawezavyo. watu wameitikia wito wa kuzaa na tumekuwa wengi lakini sasa wingi wetu inakuwa ni tishio kwa watawala badala ya kuwa mtaji wa kura na maendeleo. Hofu ya nini?
Ina maana wale waliozaliwa kwa wingi kabla ya wito wake ni haramu? Hawataki? Anataka wa kipindi cha wito wake tu ndio wawe wengi?Loh! Huo wito wa juzi ndio washakuwa wakubwa hivi wanafanya maanadamano! Maajabu.
Bwana yule aanze kufungasha kingali mapema
Kwa hiyo unataka kusema Magufuli atapora uchaguzi?Afungashe aende wapi wakati Tume ni yake na mkono mwingine Ana dola, jiandaeni kulia na nguvu hizi mngezitumia kudai Time huru na katiba mpya kwanza
Wa jf sio wa barabarani, unaleta shobo unakula ya ugoko unapelekwa hospital basi. Dawa zipo za kutosha.Wa Leo sio wa jana,haki kwanza ndipo amani ufuata
Unakula tatu zile za Mama Samia zenyeWa jf sio wa barabarani, unaleta shobo unakula ya ugoko unapelekwa hospital basi. Dawa zipo za kutosha.
We ni tahira huna akilia timamu ,,elimu yako haijakuasaidia ki2Nawapongeza polis kwa kazi nzuri ya kusimamia amani
Hizo 40 ni za wahuni wenzenu, kwa askari ni moja tuu ugoko huna.Unakula tatu zile za Mama Samia zenye
shabaha ati, au zile 40 halafu 16 ndio zimelenga
Pongezi kwenu CCM na walenga shabaha wenu
Kwa hiyo unafikiri risasi za Ugoko zitazuia nguvu ya UmmaHizo 40 ni za wahuni wenzenu, kwa askari ni moja tuu ugoko huna.
Amani wakati unasikia watu wamepigwa mabomu na risasi, hivi unajua kusoma au unaangalia picha tu?!
mkuu naona umeweka picha yako ,sema ukweli una sura kama nguruwe poriHizo 40 ni za wahuni wenzenu, kwa askari ni moja tuu ugoko huna.
Wanapewa maelekezo kutoka kwa dikteta ,mwenye roho ya kwanini..WHY?
..Hao watu usiku ukizidi kuingia wataondoka wenyewe.
..Polisi wetu hawana akili kabisa.
Wamekosea kupiga watu risasi kama kweli,lakini kwa upande mwingine usiko kama huo pengine kuna watu wana nia mbaya watajichanganya na hao watu kumbe wanamtafuta lissu wamdhuru.Hawa polisi wanafikirisha sana, hapakua na haja ya kutumia nguvu au kuwapiga wananchi mabomu, hapo wakiulizwa watasema wanalinda usalama wa Lissu dhidi ya wananchi
Hiyo ndo sura ya kidume anayejiamini sio sura zenu za kishoga hadi mwaona aibu kuonekana.mkuu naona umeweka picha yako ,sema ukweli una sura kama nguruwe pori