Uchaguzi 2020 Kahama: Polisi wapiga mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi waliojaa nje ya hotel aliyofikia Tundu Lissu

Hii kazi ndio maana sikuitaka kabisa, na sitaki mwanangu aje aifanye. Ujinga, hakuna reasoning ...

Pathetic !
 
Usalama wa Lissu uko mikononi mwa Jeshi la Polisi nchi inapoelekea kwenye tarehe ya Uchaguzi Mkuu. Kwa sababu zifuatazo, Jeshi la Polisi litachukua kila hatua ya kuhakikisha usalama wa Lissu.

√ Ikumbukwe kwamba Lissu na viongozi wenzake wa CHADEMA wanaituhumu Serikali kwa shambulio lake na uhalifu mwingine wa mauaji na utekaji viongozi wa CHADEMA;

√ Lissu siyo kiongozi kama viongozi wengine wa CHADEMA. Lissu ni mgombea Urais kupitia CHADEMA, mwenye haki zote kuchaguliwa; na

√ Katika mkusanyiko wa watu kuna wenye nia mbaya na ovu.
 
Anza wewe kujaribu uone cha moto[/I]

Cha moto gani!

Hao askari hamsini wanatoa wapi jeuri ya kupambana na midume zaidi ya milioni arobaini nchi nzima?

Huwa mnajidanganya sana na hao migambo wenu wa uvccm!

Ninyi hamna jeshi wala intelijensia inayoweza kupigana na watu zaidi ya milioni sitini, SEUZE hao migambo legevu wanaolipwa ujira kiduchu!
 
Geita hawakupiga mabomu,nimeskia RPC ameondolewa na kupelekwa chuo cha polisi ili ajifunze tena kazi.Pia OCD naye kang'olewa.

Waengine wanatetea unga wao,usione hivi.
Mataga kwa kuwa nyie mnajifanya WAZALENDO mshindo basi tokeni Jamii forum ,muende kuzima moto Mlima Kilimanjaro. Uzalendo sio kusifia utopolo bali ni kupigana kwa jasho na damu kuilinda nchi yako! #MtajuaHaumjuiMwakaHuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM bila poliCCM ni wepesi sana, hawana ubavu wa kumkabili Tundu Lissu kwa hoja bila kutumia nguvu ya poliCCM. Tundu Lissu akiingia Ikulu Oktoba uonevu huu wote utafika tamati.
 
Reactions: BAK
Jiwe no way out., Lissu ataikomboa hii nchi kama sio leo basi ni kesho
 
Reactions: BAK
Sasa si muanze kwanini tuandikie mate na wino upo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…