Uchaguzi 2020 Kahama: Polisi wapiga mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi waliojaa nje ya hotel aliyofikia Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 Kahama: Polisi wapiga mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi waliojaa nje ya hotel aliyofikia Tundu Lissu

@BAK mkuu wangu! Haki ya nani CCM inaondoka mwaka huu. Kwa hiari au kwa shari!
Umati kama huo miji yote wapo, jee ukiwaibia kura na wakajua umewaibia kisha akajitokeza wa kuwaingiza barabarani nani ataweza kuwazuia?
Hatuna polisi wakuweza Fanya hivyo.
Jee Dar, Arusha, Mwanza,Mbeya, Moro nk kukilipuka ndani ya siku moja ubavu wa kuzuia upo?
Hakuna, zaidi ya kujitafutia makubwa zaidi
CCM inaondoka mwaka huu Mkuu, atakayejaribu kuzuia ataondoka nayo. Iko hivyo.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Tusubiri 28/10/2020 bado siku 15 tu.
EkJnZGNXgAY-4QJ.jpeg
ccm 2020
EkJnZGNXgAY-4QJ.jpeg
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Wakuu wa wilaya na mikoa pamoja na ma OCD wao watamponza Magufuli na Mkuu wake wa Jeshi la Police

Wajichunge sana!!

Hawa wanataka sana kupelekwa mahakama ya kimataifa ya ICC The Hague, Uholanzi.
 
Bongo uchaguzi ni vita. Kwa sasa tunapanda chuki, ikikomaa itakuwa wakati wa mavuno
Ndiyo , kwa sababu CCM wanajua utamu wa madaraka . Utajiri wote unaoonekana Tanzania una mikono ya makada wa CCM.

Ukiona mashule ya Private ,mahospitali ya Private, Mabasi ,Malori, Mahoteli,viwanda, mashamba makubwa, Majengo kule Kisutu na Upanga ,matenda makubwa , Ajira kule Hazina n.k.
Watawala ndani ya Serali zote za CCM ndio wanaonufaika na kodi zote za watanzania. Kwao suala la pesa sio tatizo tena wanataka sasa kurithisha vizazi vyao Mali na madaraka milele na milele.

Ni jukumu la wagombea wa upinzani kujua kuwa Ubunge,udiwani na hata urais ni ajira muhimu inayopaswa kupiganiwa mana walioishika wanajua utamu wake na hawapo tayari kupokonywa.
CCM watawahonga mawakala na kuwatisha sana.
Na kwa sababu wapinzani wengi hawajawahi kushika madaraka wakihongwa hata mil. 10 wanaachia nafasi kumbe ni vijisenti wenzao wanavyovipata kama Chenji kwenye madaraka.

Haki inalindwa mana wanazulumu huwa wananufaika na dhulma zao na familia zao zinaishi maisha ya raha mustarehe mana mbaya zaidi kuna MTU mmoja mwenye madaraka makubwa kuliko Mungu hapa duniani anaweza kumlinda MTU yeyote popote na hakuna wa kumzuia wala kumhoji alimradi tu anakalia madaraka .

Ni jambo jema sana mwaka huu CCM itolewe au wabunge wake watolewe kwa namna ambayo haijawahi kutokea ili nchi hii iwe na watu wenye usawa na wenye kuheshimiana kuthaminiana bila kubaguana .
 
Hivi why polisi kutawanya watu lazima silaha za moto?
 
Violence Alert Tanzania Election

"Tunapigwa mabomu nje ya hotel ya Gaprena Kahama, kwasababu watu wamesindikiza gari na hawataki KUONDOKA"
chadema mmejaa maboya
polisi wanajitahidi kumlinda lissu,mnapogoma kutoka hoteli mnahatarisha maisha ya mgombea wenu,pia hoteli ina wateja wengine wanahitaji kupumzika
kwa nini msiende kwenye uwanja mliopangiwa mkalala huko huko?
 
..WHY?

..Hao watu usiku ukizidi kuingia wataondoka wenyewe.

..Polisi wetu hawana akili kabisa.
Jata hivyo walipaswa kumuomba Mh Lissu awaombe wananchi waondoke mahali pale kuliko kuwapiga mabomu. Kwa kweli watu wanaanza kuizoea milio ya mabomu na risasi. Hii ni hatari sanaa
 
Back
Top Bottom