Mafinga inategemewa na sehemu nyingi sana ikiwemo baadhi ya sehemu za iringa mjini. Unajua kuna baadhi ya bidhaa iringa mjini ni bei ghari kuliko mafinga? Jibu ni ndyo,kwanini?
Ni kwasababu vitu au bidhaa nyingi hasa amabzo hutakiwa kusafirishwa kwa treni kutoka bandarini kwenda mikoa ya iringa,njombe na ruvuma mizigo hyo hushushiwa makambako ndipo isafirishwe kwa magari kutoka makambako hadi iringa.
kwa sasahivi mafinga imeunganishwa na barabara ya morogoro kupitia mufindi kaskazini ambapo barabar hyo inaingilia kinyanambo c-ugesa-usokami-mapanda-kisusa mpaka mlimba. Kwahyo mtu badala aende morogoro sasaivi anakuja mafinga kufuata huduma mbalimbali