Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona nilichokuwanaongea kuwa vision ya mji wa kahama na makambako zinaendana hii ni kutokana na geographical position ilipo inaibeba Sana alafu yote Ina tambarare ya kutosha ambayo Haina vikwazo vingiMafinga inategemewa na sehemu nyingi sana ikiwemo baadhi ya sehemu za iringa mjini. Unajua kuna baadhi ya bidhaa iringa mjini ni bei ghari kuliko mafinga? Jibu ni ndyo,kwanini?
Ni kwasababu vitu au bidhaa nyingi hasa amabzo hutakiwa kusafirishwa kwa treni kutoka bandarini kwenda mikoa ya iringa,njombe na ruvuma mizigo hyo hushushiwa makambako ndipo isafirishwe kwa magari kutoka makambako hadi iringa.
kwa sasahivi mafinga imeunganishwa na barabara ya morogoro kupitia mufindi kaskazini ambapo barabar hyo inaingilia kinyanambo c-ugesa-usokami-mapanda-kisusa mpaka mlimba. Kwahyo mtu badala aende morogoro sasaivi anakuja mafinga kufuata huduma mbalimbali
Hilo neno maana yake ni nini mkuu
Katoro watu walitokea wapi? Kuna utitiri sokoni na mitaani .