Kahama the upcoming city

Kahama the upcoming city

Niliwahi kwenda shinyanga mjini sikuona Usafiri wa mabasi ya mijini (daladala) jibu nikaambiwa huku usafiri ni baiskeli shilingi mia 2-3 unatolewa stand hadi nyumbani kwako [emoji1787][emoji1787][emoji1787] na mizigo yako [emoji3][emoji28] sikuamini hadi leo iwapo ni kweli.

Nilicheka.

Stand ya shinyanga iko mbali sana na mjini na hakuna mabasi ya mjini nimeshangaa sana.

Kwanini mnaiga mipango ya miji mikubwa kutaka na miji midogo inajokua iwe Sawa?

Wekeni reserve ya maeneo miji ikikua ndipo muweze ku utilize hayo maeneo.
 
Afadhali Tanga stand iko Kange lakini kuna mabasi ya mjini Yaani daladala za kufikisha wananchi mjini na kuwasogeza karibu na majumbani mwao vinginevyo kukodi pikipiki ni gharama kubwa mwananchi wa kawaida atamudu vipi na mizigo yake na watoto?

Kwanza Usafiri wa pikipiki ni wa hatari kiusalama.

Hata bajaj.

Mimi nimeenda only one time Shinyanga nika come out na hiyo observation sijui wenyewe wenyeji hawaoni tabu labda?! [emoji2369][emoji2369]
 
Mkoa wa shinyanga ni miongoni mwa mikoa ilobarikiwa migodi ya madini ya thamani kubwa sana Duniani lakini ni miongoni mwa mikoa ilochoka ile mbaya!

Kumbuka tangu kabla ya Uhuru ALMAS - Mwadui Diamond inapatikana mkoa wa Shinyanga tu,

Madini haya yana upekee sana na thamani kubwa mno.

Madini mengine kama vile dhahabu yanapatikana pia kwa wingi ,

Wazungu wanakuja wanakwapua wananchi wanatia huruma mpaka basi!

Hadi mtakapoamka kwenye usingizi wa pono mlolala na kuanza kujitambua?!
 
Mafinga inategemewa na sehemu nyingi sana ikiwemo baadhi ya sehemu za iringa mjini. Unajua kuna baadhi ya bidhaa iringa mjini ni bei ghari kuliko mafinga? Jibu ni ndyo,kwanini?

Ni kwasababu vitu au bidhaa nyingi hasa amabzo hutakiwa kusafirishwa kwa treni kutoka bandarini kwenda mikoa ya iringa,njombe na ruvuma mizigo hyo hushushiwa makambako ndipo isafirishwe kwa magari kutoka makambako hadi iringa.

kwa sasahivi mafinga imeunganishwa na barabara ya morogoro kupitia mufindi kaskazini ambapo barabar hyo inaingilia kinyanambo c-ugesa-usokami-mapanda-kisusa mpaka mlimba. Kwahyo mtu badala aende morogoro sasaivi anakuja mafinga kufuata huduma mbalimbali
Umeona nilichokuwanaongea kuwa vision ya mji wa kahama na makambako zinaendana hii ni kutokana na geographical position ilipo inaibeba Sana alafu yote Ina tambarare ya kutosha ambayo Haina vikwazo vingi
IMG-20231124-WA0135.jpg
IMG-20231124-WA0128.jpg
 
kuna kahama ya kiangazi..na kahama ya masika
leo 08.12.23 mvua imenyesha kahama hapatamaniki...kila sehemu ni mbovu na hovyo tu
 
Back
Top Bottom