Kahama VS Njombe/Mafinga

Loh! πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›mmekumbukwa sasa lakini input ya huo mradi kwa Njombe ni kipindi cha construction tu. Kahama inakuja Tembo Nickel Refinery Company na Isaka-Kigali SGR yaani na hapo Isaka- Mwanza SGR ndio hiyo imeanza. Ni miradi ya matrillion na ina long impact kwa maisha ya kila siku kwa mwananchi mmoja mmoja. Hiyo HEP ni kipindi cha ujenzi ndio mtakula helaaaa baada ya hapo msoto huko palepale. With the nickel project, Tanzania can dream big




KAHAMA haitegemei dhahabu, uchumi wa Kahama, usafirishaji (reli/ICD/ Air flights/ roadways) yaani hapa tumekosa usafiri wa maji tu, kilimo (Tumbaku/ Mpunga/ Pamba / Alizeti / Karanga / Dengu / Mahindi), Warehousing, manufacturing industry (Mabati/ Mafuta ya kupikia/ Textiles/Vinywaji/, Ufugaji (Ng'ombe / Mbuzi/ Kondoo/ Vitimoto) ,Mines and Mineral processing. In short Lake zone ina chanja mbunga Shamba la mbao la pili kwa Ukubwa nchini lipo Lake zone baada ya Sao Hill. Zaidi mnatuzidi parachichi.
 
Mara mradi wa Nickel unakuja mara sisi hatutegemei madini mara hatutegemei kilimo sijui useme mbao zimeshuka bei uje tena ugeuke useme shamba la miti la pili liko lake zone yaani ni umechanganyikiwa hadi sio powa.Migodi hiyo haijawahi kuwa na faida kwenu zaidi ya kuwaongezea umaskini tuu.

Njombe ni bustani ya Mungu huku ni mtakuja upende usipende ndio maana serikali imekuja kufanya hiyo miradi unayodai tumekumbukwa.Kwamba miradi ikikamilika barabara zitaacha kusaidia watu au?,kwamba plants zikikamilika watumishi watahama au?

Kuhusu miti huku hatuzungumzii mashamba ya serikali bali mashamba ya mtu mmja mmja ndio yenye tija kwa maisha ya watu nyie mnaosubilia vibarua vya shamba la Chato mtapigika sana.Parachichi mikoa mingi inalimwa but parachichi ya Njombe,Kilolo na Tukuyu ndio utaikuta ulaya.Hatulimi Hayo tuu tumewapiga bao vingi ikiwamo chai na mazao mengine ya matunda na kumbuka sisi tuko well organised sio waparua ardhi ,huku kilimo ni biashara yenye tija sio adhabu kama huko Kanda ya ziwa.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Kuhusu miradi ya matrillion πŸ’°πŸ’°πŸͺ™πŸ’΄πŸ’΅πŸͺ™ Kahama Wilaya>>>>>>>>>>>>Njombe Mkoa
 
Makambako tupo bize na ujenzi wa viwanda
 

Attachments

  • FB_IMG_16121469086891207.jpg
    37.8 KB · Views: 2
Mji wa 8 kwa ukubwa Tanzania na Miji ya 20 na 31zinalinganishwa! Sensa ya Taifa 2022 na ikifanyika mji wa 8 kwa ukubwa Tanzania unaweza panda mpaka nafasi ya 7 na hakuna cha kuzuia . Na katika hiyo list ni Wilaya pekee isio makao makuu ya Mkoa ikiingia kwenye top 10 ya miji mikubwa Tanzania πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜†

 
Ndizo picha za Khm?
Mulijigamba sana, mtu wa Njombe akaweka picha za majengo prime pale Njombe. Unakuja kuweka takwim za idadi ya watu na wachuuzi.
Kama idadi ya watu hata DSM ina watu wengi kuliko Dubai, lakini hatuwafikii kwa chochote!
 
Source hii ina mashaka hata hivyo kwani siyo realistic sana. Ukiangalia Dodoma ni ya 4 lakini watu wake ni kama Kigoma na Sumbawanga.
By the way inategemea na mtu wa mwisho aliyefanya updates mtandaoni. Takwim hizi ni za NBS?
 
Source hii ina mashaka hata hivyo kwani siyo realistic sana. Ukiangalia Dodoma ni ya 4 lakini watu wake ni kama Kigoma na Sumbawanga.
By the way inategemea na mtu wa mwisho aliyefanya updates mtandaoni. Takwim hizi ni za NBS?
Hapana sio za NBS [emoji13][emoji13][emoji13] wamejitungia.

Soma vizuri ndio hujue wametunga au wamenyofoa NBS.
 
Hapana sio za NBS [emoji13][emoji13][emoji13] wamejitungia.

Soma vizuri ndio hujue wametunga au wamenyofoa NBS.
Ukiingia Google uka search kwa title hilo, unakutana na taarifa tofauti na miji ikiwa imepangiliwa tofauti, ndiyo maana hizo hazina uhalisia sana kwa sababu inategemea aliye fanya editing alikua na lengo gani na hakuna uhakika kama hakukua na biasness!
 
Karibuni kwenye mada.

Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga.

Je, ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwenzie in terms of maendeleo na ukuaji?
Kahama ni manispaa but Kahama ni mji ambao unakilimo sana karibia morogoro Kahama offers you everything
 
Kwamba zimekuwa edited!? πŸ™‚
Mna mambo sana team njome πŸ™‚)
 
Hizo taarifa zimekuwa kuwa deducted kutoka NBS kwa mujibu wa sensa ya 2012, sasa sijui hata NBS huwaamini?
 
Kwamba zimekuwa edited!? πŸ™‚
Mna mambo sana team njome πŸ™‚)
Aisee, nimekuaje team Njombe tena?
Mimi niko neutral, lakini kila upande uoneshe kwa mifano halisia ubora wake, so far mdau mmoja wa Njombe katupia mapicha ambayo kila mmoja kajionea humu, wale wa Kahama mbona hawaweki picha?
Takwim za idadi ya watu siyo hoja hapa!
 
Sasa ukubwa wa watu unaupimaje!? Kwa ukubwa wa eneo bila watu!? Less land per city dweller inamaanisha hilo eneo more urbanised...

Magorofa yana factor nyingi... Na moja ya vitu muhimu ni kubwa na centralized sewer system... Sasa KAHAMA mjini ujenge grorofa kumi down town mifumo ya majitaka unaiweka wapi!? Kwenye kiwanja cha SQM.450!?

Huko mashambani ndiko wanajenga maproperty makubwa yasiyokuwa kuwa economic back up... Uende NJOMBE ujenge 100room hotel kwa influx gani ya watu ili iwe economically viable!?

Kahama kinachoipeleka ni market forces .. unachokiona ndio uhalisia wa soko.. sio sijui sadaka za kkt zinaenga.. mara vile ni..
 
Nyie na Kasulu kuna tofauti gani ya idadi ya watu? Nyote mko kwenye 2k

Suala sio idadi ya watu suala ni nguvu ya uchumi wa watu
 
Ndizo picha za Khm?
Mulijigamba sana, mtu wa Njombe akaweka picha za majengo prime pale Njombe. Unakuja kuweka takwim za idadi ya watu na wachuuzi.
Kama idadi ya watu hata DSM ina watu wengi kuliko Dubai, lakini hatuwafikii kwa chochote!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…