Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Kahama soma hiyoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Loh! 😛😛😛😛😛😛😛mmekumbukwa sasa lakini input ya huo mradi kwa Njombe ni kipindi cha construction tu. Kahama inakuja Tembo Nickel Refinery Company na Isaka-Kigali SGR yaani na hapo Isaka- Mwanza SGR ndio hiyo imeanza. Ni miradi ya matrillion na ina long impact kwa maisha ya kila siku kwa mwananchi mmoja mmoja. Hiyo HEP ni kipindi cha ujenzi ndio mtakula helaaaa baada ya hapo msoto huko palepale. With the nickel project, Tanzania can dream bigKahama soma hiyooView attachment 1693338
Mara mradi wa Nickel unakuja mara sisi hatutegemei madini mara hatutegemei kilimo sijui useme mbao zimeshuka bei uje tena ugeuke useme shamba la miti la pili liko lake zone yaani ni umechanganyikiwa hadi sio powa.Migodi hiyo haijawahi kuwa na faida kwenu zaidi ya kuwaongezea umaskini tuu.Loh! 😛😛😛😛😛😛😛mmekumbukwa sasa lakini input ya huo mradi kwa Njombe ni kipindi cha construction tu. Kahama inakuja Tembo Nickel Refinery Company na Isaka-Kigali SGR yaani na hapo Isaka- Mwanza SGR ndio hiyo imeanza. Ni miradi ya matrillion na ina long impact kwa maisha ya kila siku kwa mwananchi mmoja mmoja. Hiyo HEP ni kipindi cha ujenzi ndio mtakula helaaaa baada ya hapo msoto huko palepale. With the nickel project, Tanzania can dream big
View attachment 1693934
KAHAMA haitegemei dhahabu, uchumi wa Kahama, usafirishaji (reli/ICD/ Air flights/ roadways) yaani hapa tumekosa usafiri wa maji tu, kilimo (Tumbaku/ Mpunga/ Pamba / Alizeti / Karanga / Dengu / Mahindi), Warehousing, manufacturing industry (Mabati/ Mafuta ya kupikia/ Textiles/Vinywaji/, Ufugaji (Ng'ombe / Mbuzi/ Kondoo/ Vitimoto) ,Mines and Mineral processing. In short Lake zone ina chanja mbunga Shamba la mbao la pili kwa Ukubwa nchini lipo Lake zone baada ya Sao Hill. Zaidi mnatuzidi parachichi.
😀😀😀😀😀😀😀Kuhusu miradi ya matrillion 💰💰🪙💴💵🪙 Kahama Wilaya>>>>>>>>>>>>Njombe MkoaMara mradi wa Nickel unakuja mara sisi hatutegemei madini mara hatutegemei kilimo sijui useme mbao zimeshuka bei uje tena ugeuke useme shamba la miti la pili liko lake zone yaani ni umechanganyikiwa hadi sio powa.Migodi hiyo haijawahi kuwa na faida kwenu zaidi ya kuwaongezea umaskini tuu.
Njobe ni bustani ya Mungu huku ni mtakuja upende usipende ndio maana serikali imekuja kufanya hiyo miradi unayodai tumekumbukwa.Kwamba miradi ikikamilika barabara zitaacha kusaidia watu au?,kwamba plants zikikamilika watumishi watahama au?
Kuhusu miti huku hatuzungumzii mashamba ya serikali bali mashamba ya mtu mmja mmja ndio yenye tija kwa maisha ya watu nyie mnaosubilia vibarua vya shamba la Chato mtapigika sana.Parachichi mikoa mingi inalimwa but parachichi ya Njombe,Kilolo na Tukuyu ndio utaikutanulaya.Hatulimi Hayo tuu tumewapiga bao vingi ikiwamo chai na mazao mengine ya matunda na kumbuka sisi tuko well organised sio waparua ardhi ,huku kilimo ni biashara yenye tija sio adhabu kama huko Kanda ya ziwa.
Makambako tupo bize na ujenzi wa viwandaWilaya ya Kahama ina Halmashauri Tatu (Ushetu DC, Msalala DC na KMC) chini ya Mkuu wa wilaya Anamlingi Macha) Inakadiriwa wilaya ya Kahama ina Idadi ya watu 1.2 million huku Kahama Municipal Council ikiwa na idadi ya watu 320,000. Ni rahisi na mapema sana hiyo KMC kuwa Jiji kabla ya Njombe
Aiseee [emoji13][emoji13][emoji13]Makambako tupo bize na ujenzi wa viwanda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aiseee [emoji13][emoji13][emoji13]
Ongeza nyama Basi hicho ni kiwanda cha nini maana seems like godownMakambako tupo bize na ujenzi wa viwanda
Ndizo picha za Khm?Mji wa 8 kwa ukubwa Tanzania na Miji ya 20 na 31zinalinganishwa! Sensa ya Taifa 2022 na ikifanyika mji wa 8 kwa ukubwa Tanzania unaweza panda mpaka nafasi ya 7 na hakuna cha kuzuia . Na katika hiyo list ni Wilaya pekee isio makao makuu ya Mkoa ikiingia kwenye top 10 ya miji mikubwa Tanzania [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
View attachment 1695569
![]()
List of cities in Tanzania - Wikipedia
en.wikipedia.org
Source hii ina mashaka hata hivyo kwani siyo realistic sana. Ukiangalia Dodoma ni ya 4 lakini watu wake ni kama Kigoma na Sumbawanga.Mji wa 8 kwa ukubwa Tanzania na Miji ya 20 na 31zinalinganishwa! Sensa ya Taifa 2022 na ikifanyika mji wa 8 kwa ukubwa Tanzania unaweza panda mpaka nafasi ya 7 na hakuna cha kuzuia . Na katika hiyo list ni Wilaya pekee isio makao makuu ya Mkoa ikiingia kwenye top 10 ya miji mikubwa Tanzania [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
View attachment 1695569
![]()
List of cities in Tanzania - Wikipedia
en.wikipedia.org
Hapana sio za NBS [emoji13][emoji13][emoji13] wamejitungia.Source hii ina mashaka hata hivyo kwani siyo realistic sana. Ukiangalia Dodoma ni ya 4 lakini watu wake ni kama Kigoma na Sumbawanga.
By the way inategemea na mtu wa mwisho aliyefanya updates mtandaoni. Takwim hizi ni za NBS?
Ukiingia Google uka search kwa title hilo, unakutana na taarifa tofauti na miji ikiwa imepangiliwa tofauti, ndiyo maana hizo hazina uhalisia sana kwa sababu inategemea aliye fanya editing alikua na lengo gani na hakuna uhakika kama hakukua na biasness!Hapana sio za NBS [emoji13][emoji13][emoji13] wamejitungia.
Soma vizuri ndio hujue wametunga au wamenyofoa NBS.
Kahama ni manispaa but Kahama ni mji ambao unakilimo sana karibia morogoro Kahama offers you everythingKaribuni kwenye mada.
Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga.
Je, ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwenzie in terms of maendeleo na ukuaji?
Kwamba zimekuwa edited!? 🙂Ukiingia Google uka search kwa title hilo, unakutana na taarifa tofauti na miji ikiwa imepangiliwa tofauti, ndiyo maana hizo hazina uhalisia sana kwa sababu inategemea aliye fanya editing alikua na lengo gani na hakuna uhakika kama hakukua na biasness!
Hizo taarifa zimekuwa kuwa deducted kutoka NBS kwa mujibu wa sensa ya 2012, sasa sijui hata NBS huwaamini?Ukiingia Google uka search kwa title hilo, unakutana na taarifa tofauti na miji ikiwa imepangiliwa tofauti, ndiyo maana hizo hazina uhalisia sana kwa sababu inategemea aliye fanya editing alikua na lengo gani na hakuna uhakika kama hakukua na biasness!
Aisee, nimekuaje team Njombe tena?Kwamba zimekuwa edited!? 🙂
Mna mambo sana team njome 🙂)
Sasa ukubwa wa watu unaupimaje!? Kwa ukubwa wa eneo bila watu!? Less land per city dweller inamaanisha hilo eneo more urbanised...Aisee, nimekuaje team Njombe tena?
Mimi niko neutral, lakini kila upande uoneshe kwa mifano halisia ubora wake, so far mdau mmoja wa Njombe katupia mapicha ambayo kila mmoja kajionea humu, wale wa Kahama mbona hawaweki picha?
Takwim za idadi ya watu siyo hoja hapa!
Nyie na Kasulu kuna tofauti gani ya idadi ya watu? Nyote mko kwenye 2kMji wa 8 kwa ukubwa Tanzania na Miji ya 20 na 31zinalinganishwa! Sensa ya Taifa 2022 na ikifanyika mji wa 8 kwa ukubwa Tanzania unaweza panda mpaka nafasi ya 7 na hakuna cha kuzuia . Na katika hiyo list ni Wilaya pekee isio makao makuu ya Mkoa ikiingia kwenye top 10 ya miji mikubwa Tanzania [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
View attachment 1695569
![]()
List of cities in Tanzania - Wikipedia
en.wikipedia.org
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Ndizo picha za Khm?
Mulijigamba sana, mtu wa Njombe akaweka picha za majengo prime pale Njombe. Unakuja kuweka takwim za idadi ya watu na wachuuzi.
Kama idadi ya watu hata DSM ina watu wengi kuliko Dubai, lakini hatuwafikii kwa chochote!