Kahama VS Njombe/Mafinga



Tofauti kubwa ya mikoa ya kanda ya ziwa na huko ni 1!.
Huku umaskini umetaradadi..huku nyumba za tembe kawaida sana kuziona...ila Iringa vijijini hukuti tembe ya huku..huko unakuta nyumba ya tofali za kuchomwa na sola juu au umeme kbs!
Ila huku matajiri ni wengi..huko matajiri sio wengi..ila wakaaz wa huko wametupga gape kubwa sana kwenye makazi!
Mikoa hyo (Ir.Mby Njmbe) ni ngumu kulala bila kula kisa huna chakula..huku kawaida tu!
 


Ila na ww usijidai kisa kilolo mna kilimo cha imwagiliaji..nidanganye kwingine sio hiyo sekta..! mtu unajipinda kulima nyanya then unakuja uza tenga kwa 3000??😏😏 yaan kafaida kanakuwa kadoogoo ...hapana aisee..nyie limeni tu kwakwel na vifaida vya laki 6 miez 3😏😏!

^
huku bwana unalal.maskn unaamka.tajiriπŸ˜‚πŸ˜‚..unalala.tajiri after a short tym u akuwa maskini! sasa huku wenye akili kama kina Manengelo lazima tutusue tu..starehe zinakaa kando na kusoma mchezo kwa ustadi mkubwa! endelen kulima fingamba be!
 
Tena aliyepiga picha ya Hotel SUB MARINE,apige na kwa nje,hicho kijinjia cha kuingia hapo kimejaa vumbi na makolongo ,kutwa nzima wanamwaga maji ili wateja waliomo ndani wasichafuke na vumbi,tena hiyo njia yakuingia Hotelini hapo haitoki upande wa ni makolongo tupu,ni mita 50,kutoka kwenye Lami,wenyewe wanaita kutoka PHANTOM.
 
Atleast Njombe hyo hali.yenu ya hewa mngeitumia kwenye fursa za kulima maua na kuexport maua holaa..nimetuma sana miche yaπŸ“πŸ“πŸ“ ajabu mnataka niwataftie masoko..khaa..
 

Unafikiri ni Kwanini Hizo mission hazijajenga huko Shinyanga au sijui wapi, au unadhani vikiwa vya dini inamaanisha ni Malaika walishuka wakajenga? Hizi akili za migodini jamani[emoji2][emoji2]
Kwani huko hakuna hizo dini? Au nyie huko hamuhitaji Vyuo?
Iringa ni Miongoni mwa mikoa minne Tajiri Tz, (fact)
Kuwa na madini pekee haitoshi, Fanyeni kazi kwa bidii huko mpunguze umaskini. Period.
Njoo kwetu kilolo uone tofauti ya Kilimo na Madini.
 
Bado walipiga tu x nyumba za kuvunja, naona nguvu nyingi walielekeza kwenye miradi ya road za ludewa, makete na hii ya iringa to mbeya pia mradi mpya wa umeme gridi ya maka to songea
Wataanza mwaka huu au mapema mwakani wametangaza tender nimeona kwenye bajeti na tangazo la tender
 
iringa toka itengwe na njombe, hawana cha kujivunia sana zaidi ya wilaya ya mufindi. Kwingine hakuna ishu, kugumu. Mufindi ndio wilaya ya kiuchumi zaidi kwa mkoa wa irnga
 
iringa toka itengwe na njombe, hawana cha kujivunia sana zaidi ya wilaya ya mufindi. Kwingine hakuna ishu, kugumu. Mufindi ndio wilaya ya kiuchumi zaidi kwa mkoa wa irnga
Iringa town wakikaa bila kujipanga itabaki old town maana Mafinga inatembea speed hatari japo sio leo au kesho si unajua mtu akitangulia
 
Kahama Tunduma Makambako Mafinga ni wilaya zaidi ya mikoa.Kuna mzunguko wa pesa balaa.Kuna guest kibao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…