Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Unafikiri ni Kwanini Hizo mission hazijajenga huko Shinyanga au sijui wapi, au unadhani vikiwa vya dini inamaanisha ni Malaika walishuka wakajenga? Hizi akili za migodini jamani[emoji2][emoji2]
Kwani huko hakuna hizo dini? Au nyie huko hamuhitaji Vyuo?
Iringa ni Miongoni mwa mikoa minne Tajiri Tz, (fact)
Kuwa na madini pekee haitoshi, Fanyeni kazi kwa bidii huko mpunguze umaskini. Period.
Njoo kwetu kilolo uone tofauti ya Kilimo na Madini.
Tofauti kubwa ya mikoa ya kanda ya ziwa na huko ni 1!.
Huku umaskini umetaradadi..huku nyumba za tembe kawaida sana kuziona...ila Iringa vijijini hukuti tembe ya huku..huko unakuta nyumba ya tofali za kuchomwa na sola juu au umeme kbs!
Ila huku matajiri ni wengi..huko matajiri sio wengi..ila wakaaz wa huko wametupga gape kubwa sana kwenye makazi!
Mikoa hyo (Ir.Mby Njmbe) ni ngumu kulala bila kula kisa huna chakula..huku kawaida tu!