Kahama VS Njombe/Mafinga

Nikuonyeshe mashule yaliyoko kahama ukimbie mkuu?
Au kanisa katoliki ushangae yani kumbe Njombe imezidiwa kila kitu eeeh nadhani Njombe imeizidi kahama kwa uzuri na ubora wa stendi ya mabasi tu
Weka picha acha maneno,manamba na shule wapi na wapi broo?
Tukija kwenye mataasisi huko ndo hamuwezi kugusa hata kidogo maana shule tunaijua nyie ongozeni guest house tuu
 
Ukisoma distance chart ya Tanroads Ina umbali wa kila mji mkuu wa mkoa nchi hii
Kahama linganisha na Bariadi au Maswa Njombe sio level yenu
 
Tungekuwa wachawi na hatupendi maendeleo ungekuta tunachuana na mikoa ya kanda ya ziwa na rukwa kwa umaskini sasa tunashindana na Kilimanjaro na Dar kwa ustawi wa maisha
Migodini kama huko Kahama na Geita ndio watu wanachuma na kusepa maana hakufai hata kuishi wanaoishi huko ni wale maskini
 
Zit
Umeanza kulinganisha manispaa na wilaya ambayo haijafikia hata hadhi ya kuitwa mji?
.
Endelea kulinganisha Kahama mji na njombe mji kumbuka ulisema hakuna mahotel kahama marefu nikakuonyesha yani Njombe imefunikwa na kahama
Yataje hayo mahotel ya Kahama halafu weka na picha tuzione.Usioweke maneno bila evidence
 
Hapa naongelea mapato siku za nyuma kidogo siyo viwanda
Huna hakika

Mapato mengi yanakusanywa kwa wingi kutoka
1.Ilala
2.Mufindi

Sababu n wingi wa viwanda

Kahama n Migodi ambayo nayo tumepigwa Sana Kodi wanayotoa nnkidogo kwa sababu ya ufisadi na mikataba mibovu
 
Mimi nipo Njombe lakini nishawahi kufika Kahama mara kadhaa, kusema ukweli, huwezi kulinganisha mji wa Kahama na mji wa Njombe hata kidogo. Kahama mzunguko wa hela ni mkubwa sana ukilinganisha na Njombe. Kahama ni mji ulio changamka zaidi ya Njombe
 
Tunaanza na Singida
 

Nimebahatisha hizi picha, huko jalalani kunani?
 
Au labda atuambie madini huendelea kuzaliana baada ya kumwagiliwa maji na kuwekewa mbolea
 
Weka picha acha maneno,manamba na shule wapi na wapi broo?
Tukija kwenye mataasisi huko ndo hamuwezi kugusa hata kidogo maana shule tunaijua nyie ongozeni guest house tuu
Weka na wewe maana naona naweka mimi tu wewe huweki
 
Hapo hamna kitu zaidi ya hizo barabara mpya,kwenye majengo ya ghorofa tumewachapa bakora za kutosha
Hata hivyo ngoja nikueleze kitu usichokijua,hizo barabara umeziona hapo singida na sumbawanga zimejengwa mwaka juzi na jana plus stend ambapo.
Serikali imekopa pesa benki ya dunia kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya miji 20 Tzn nzima Njombe ikiwamo.Kipi kinaanza inategemea na mji lakini pia kuna vigezo.Kwa Njombe tumeanza na stendi then ndio zitakuja barabara.Lakini sisi tuna advantage maana barabara kuu ya Makambako songea inapanuliwa na kujengwa upya ko Mjini patanoga zaidi ya Singida na Sumbawanga
Ukienda mpanda Kigoma tabora Iringa Bahati Korogwe utakuta miradi hiyo ko mwaka huu mradi wa barabara za mjini Njombe utaanza kuwa mpole tukutane mwakani mwezi kama huu.
Kwa Sumbawanga wako wanaendelea na mradi wa stendi kwa sasa afu kuwa mpole naishi Sumbawanga ko hakuna cha kunionyesha huku labda uweke picha za Singida etc
 
Thamani ya gold ni wazi kabisa
Ndugu hiyo gold inaonekana haina thamani huko Kahama maana kumepauka hawana cha kuonyesha zaidi ya mashimo na mitaro waliyofukua kwa Sululu na majembe.Si unaona mkali kaomba kupigwa tafu na Sumbawanga plus Singida kushindana na Njombe lakini hadi sasa hakuna kitu sisi tumeweka magorofa floor 5,6,7 tena zaidi ya majengo 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…