Kahama VS Njombe/Mafinga

njombe cpajui vizuri ila kahama ule mji hata buzwagi ufungwe kesho ule mji ushaendelea tayari, yaani in sawa na kusema kwasababu serikali na wizara zote zinahamia Dodoma halafu useme Dodoma itaizid Dar kimaendeleo na kiukuaji hiyo haipo. Pia kumbuka kahama pale kuna ofisi nyingine za kimkoa ziko kahama badala ya shy, hiyo yote ni kutokana na population na maendeleo ya mji, biashara nk. Kifupi iko juu sana ya njombe na mafinga.
 
Weka picha acha porojo,hata hivyo bila migodi ya hao manamba Kahama ni dampo tu
 
Nakuunga mkono kusema mzunguko wa Hela upo juu Kahama ila hakuna uwekezaji wowote hata wa majengo uliofanyika ndio maana n mji ulio hovyo tu

Kahama na Tunduma na Makambako n miji inayoshabihiana .Linganisha Kahama na Tunduma huko utakuwa upo sawa
 
Sio ramli ni uhalisia wa mda.

Utabiri na upiga ramli wewe ndo unaita uhalisia?!! Geita ikiwa bado sehemu ya mwanza ilitabiriwa zamani sana itaipita kahama lakin wapi, hadi leo geita ni mkoa na inaendelea lakini kahama nayo iko mbiombio. Hiyo njombe yako hata kwa geita tu haigusi. Unasema mbinga porini hata njombe pia ni porini
 
Geita,Makambako,Tunduma na mbinga ndio levo za Kahama,Njombe ni level za wakubwa kama unabisha weka picha za Kahama za Njombe ushaziona zimejaa humu
Kama huna ushahidi wa picha baki unabwabwaja ila ndio hivyo hadi floor 7 nyie manamba mtapata wapi pesa za kujenga mijengo kama hiyo.
Huko Kahama ni mitaro mashimo na Mazizi ya punda tu hamna kitu hadi Mafinga imewachapa
 
Nakuunga mkono kusema mzunguko wa Hela upo juu Kahama ila hakuna uwekezaji wowote hata wa majengo uliofanyika ndio maana n mji ulio hovyo tu

Kahama na Tunduma na Makambako n miji inayoshabihiana .Linganisha Kahama na Tunduma huko utakuwa upo sawa
Hiyo ni miji ya wachuuzi not suitable to live hata Songwe watumishi wanafanya kazi Tunduma wanaishi Vwawa yaani maisha ya miji ya hivyo ni uchuuzi kwenda mbele
 
Songea itapitwa na Wilaya ya Mbinga muda sio mrefu japo Serikali imeharibu utaratibu wa zao la Kahawa ila bado Mbinga inakuja vizuri.
 
Maneno mengi ya nini weka pichaaa
 
Njombe ni wilaya iliopewa hadhi ya Mkoa miaka saba iliopita, na ina hadhi ya Manispaa kwa sasa hivyo ni sehemu inayokua kwa kasi kuliko hayo maeneo mengine uliotaja na Mafinga pekee ilikua inakimbizana na Njombe kabla Njombe haijapewa Mkoa
 
Yaani mnaniboa nyie manamba wa Kahama mnaposema iko juu kuliko Njombe na Mafinga leteni ushahidi sio hadithi za machimbo mlikokata tamaa huko
Iko juu kwa lipi lipi elimu,barabara,makazi,magorofa,ubora wa mazingira au nini?
Mtu anakuja anasema tuna watu wengi sawa wamewasaidia nini kama wote ni maskini? Mara mzunguko wa pesa sawa matokeo ya mzunguko wa pesa ni yapi kama hata kujenga hamuwezi hela zinaenda wapi?
Mwingine anasema madini sawa kama mna madini utajiri wenu uko wapi maana hamjengi kila kitu hovyo sasa tuwaelrwaje? Au hapo Kahama ni kama mnada au gulio watu wakichuma wanasepa?
Mtu
 
Njombe ni wilaya iliopewa hadhi ya Mkoa miaka saba iliopita, na ina hadhi ya Manispaa kwa sasa hivyo ni sehemu inayokua kwa kasi kuliko hayo maeneo mengine uliotaja na Mafinga pekee ilikua inakimbizana na Njombe kabla Njombe haijapewa Mkoa
Kuna manamba mmja hapo nimemwambia Njombe,Mafinga,Mbozi na Kahama zitapewa hadhi ya manispaa mda wowote anapinga kwa umbumbumbu wake,nikama mfano Mpanda na Lindi ni Manispaa kuna nini cha kushinda Njombe au Mafinga?
 
Njombe ni wilaya iliopewa hadhi ya Mkoa miaka saba iliopita, na ina hadhi ya Manispaa kwa sasa hivyo ni sehemu inayokua kwa kasi kuliko hayo maeneo mengine uliotaja na Mafinga pekee ilikua inakimbizana na Njombe kabla Njombe haijapewa Mkoa
Tuache kudanganyana basi Njombe sio manispaa Njombe ni mji ni sawa na makambako yani zina hadhi sawa hata mafinga pia ni mji
 
Songea itapitwa na Wilaya ya Mbinga muda sio mrefu japo Serikali imeharibu utaratibu wa zao la Kahawa ila bado Mbinga inakuja vizuri.
Labda siku akirudi mola ndio hilo litatokea mkuu
Sooni kasi ya kukua kwa mbinga town itapungua kwa kuwa mji mpya unazaliwa wa mbamba bay.Tayari ushapewa hadhi ya wilaya na sasa ujenzi wa barabara ya mbamba bay -manda-ludewa-itoni/Njombe na barabara ya mbinga -mbamba bay unaendelea
Serikali inapanua gati la mbamba bay ko hicho hakiwezi kutokea maana mbinga haina junction zozote
Songea ina future kubwa sana kwa vile ni junction town kwa barabara ya songea Msumbiji juzi tu waziri alikuwa kukagua umaliziaji wa daraja linaunganisha na Msumbiji na lami inaanza jengwa mwakani.pia barabara mpya ya songea/lumecha-malinyi -ifakara-mikumi iko mbioni kujengwa any time,songea-njombe -makambako
Mbamba bay Songea tunduru Masasi mtwara,hizo ni trunk roads how comes mji kama huu kudorora?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…