Namala Namala
JF-Expert Member
- Jun 5, 2016
- 227
- 127
njombe cpajui vizuri ila kahama ule mji hata buzwagi ufungwe kesho ule mji ushaendelea tayari, yaani in sawa na kusema kwasababu serikali na wizara zote zinahamia Dodoma halafu useme Dodoma itaizid Dar kimaendeleo na kiukuaji hiyo haipo. Pia kumbuka kahama pale kuna ofisi nyingine za kimkoa ziko kahama badala ya shy, hiyo yote ni kutokana na population na maendeleo ya mji, biashara nk. Kifupi iko juu sana ya njombe na mafinga.