Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama sijafika na siwazi kufika maana nilikuwa nadhani ni bonge la town kumbe changanyikeni tuu ,yaani kwa picha nazoziona humu na kelele zinazopigwa nimepadharau sana
Kujengeka kupi hakuna picha zaidi ya majengo ka nssf hako basi sasa kingine cha kunileta huko ni nini labda nikipata biashara ya kuchuuza
Hiyo town sio liveable hao wanaolipwa pesa hawajengi huko wanazi expatriate tu
 
Tunafurahia ukuaji wa miji na majiji yetu, bila kufikiria matumizi ya ardhi kwa kilimo, misitu na mbuga za wanyama. Viwanja vinapimwa kila leo, vya kila mtu na kajumba kake. Tunazaana kuliko kufa, mbeleni ardhi haitatosha. Ni wakati sasa mipango miji kuwa na mipango ya kuelekeza ujenzi wa nyumba juu ya nyumba.
 
hivi njombe kuna nini pale ukitoa vigorofa vya nssf na agriment hotel? kiwanda kimoja cha maziwa, unafananisha na kahama kwenye migodi mikubwa ya dhahabu, ? umeme unaotumika tu buzwagi ni mkubwa kupita umeme unaotumika mji wote wa njombe, njombe bado ni kijijini
 
biashara inayofanyika kahama ni kubwa sana, watu ni wengi mno, maduka, migahawa, night clubs, mji umechangamka usiku na mchana, ufananishe na njombe watu wachache wanajuana mji mzima, ukinunua ka IST unajulikana mji mzima, matajiri ni akina mtewele na marehemu mwazinga? tembea uone njombe ni kijijini
 
Njombe ni self made.. haina madini ila inawatu matajiri sana nchi hii.. mafinga oia ina matajiri wenhi sana.
 
Njombe ipo juu sana bosi


Mbao

NGUZO ZA umeme

Chai

Parachichi

Makaa ya mawe (liganga)


Chuma
 
Sehemu za Madini watu wake huwa maskini siku zote.Kuna mbunge toka Kanda ya Ziwa aliwahi complain bunge kuwa madini yakiwa Jimboni kwako hesabia hiyo ni laana
 
Njombe ni self made.. haina madini ila inawatu matajiri sana nchi hii.. mafinga oia ina matajiri wenhi sana.
Njombe hakuna tajiri, kuna waganga njaa tu, matajiri ndio akina mtewele kwa ajili ya kale kayard ka magari? unafananisha na kahama ambako mchimbaji mdogo tu wa dhahabu kupata milioni 500 ni kitu cha kawaida, uwalinganishe na waganga njaa akina mwendamseke wenye vicosta vitano ndio matajir wa njombe? hauko serious
 
Haha we sio mzima amini nakuambia, punguza ushamba hvyo sio vitu vya kujitambia puuuuuuh
 
Weka picha ya mtaa konki wa Njombe usiweke Raman za majengo za 3D. Maana hata mm karamani ka 3D ka mjengo wangu kanavutia unaweza sema namzidi ASAS kwa mjengo
Kahama inamaana imeshindikana hata kuweka za 3D?
 

Tumeshajua ushamba waki ni maghorofa
 


Bora utupokee kuwaeleza
 
Bado sana Ardhi kujaaa
 

Hujaon picha za KHM??? Umepanik fungua page mbila za mwish utaon tofaut ya khm n njombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…