Kahama VS Njombe/Mafinga



🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Umeamua kuhamisha magoli,magorofa sio ya biashara tuu bali na ya taasisi kama shule,vyuo, hospitali,makanisa nk nk .Kwa idadi hiyo ni zaidi ya 30
Pili Mbeya ya mwaka juzi unayosema wewe sio ya leo,tulikuwa tunadanganywa mara ooh kuna matetemeko mara maji yako karibu mara tusijenge zaidi ya ghorofa 3
Hizo hadithi saizi ni past tense tokea walimu waporomoshe hilo jengo la floor 6 lenye lift la kwanza kwa urefu kwa Mbeya miaka hiyo ya 2014 sasa hivi yameota mengi ya hadi 12 floor hakuna lugha ya lift tena
Ko Mbeya sauzi ni jiji haswaa hadi mall zipo na ukiondoka ukarudi baada ya mwaka unakuta jiji limebadilika majengo mapya yamejengwa.
 
Acheni ushabiki jamani ingawa mi sijafika njombe,ila hivyo viwanja mnavyosema duh!nahisi hamna exposure kabisa!

Huenda mkuu hatuna exposure!..au hujaelewa...mi nilisema ze fox ni fire..amsha amsha km dar .na ni classique!
 
mkuu..mbeya malls zipo sehemu gani, au zile frames za pale sido ndiyo malls?ghorofa gani mbeya line floor 12 mkuu?
 
mkuu..mbeya malls zipo sehemu gani, au zile frames za pale sido ndiyo malls?ghorofa gani mbeya line floor 12 mkuu?
Tughimbe Royal Hotel complex ina shopping mall na conference centre iko mafiat round about
Pili lile ghorofa la Kabwe liko kwenye cladding stage na lile jengo la kitega uchumi la bima ya afya NHIF Uhindini ni yana hizo floor
Uliza kingine mkuu
 
Majengo mengi kusini yamejengwa kwa tofali za kuchoma.Tena ni majengo imara kwelikweli.Mfano shule ya Sekondary Njombe,majengo mengi ya Misheni kama Uwemba na majengo mengi ya design za mjerumani ni tofali na yanadunda mpaka leo.Sasa jamaa alitaka waje gee nini?
 
Ukitafuta kipato cha mwananchi mmoja mmoja utakuja ona kahama wanashindwa kwa njombe.Ndiyo maana Takwimu za NBS zilisema
Dar,Kilimanjaro Njombe.Sidhani kama mikoa yenye madini unaona hapo.Sehemu zenye madini mara nyingi wananchi wake huwa ni maskini sana ili waendeleee kuwa watumwa wa matajiri
 
Dar Kilimanjaro,then Njombe.Hizo Ni Takwimu za NBS.Mikoa yenye migodi ilitokea kwenye mikoa duni.Ukiwemo geita
 
Kwamba Maduka yanafungwa msimu wa kilimo ni kweli au umeongea tu kwa vile huna kingine cha kuongea?
 
Tatizo anayebisha na kutoka povu hajafika kahama na yeye migodi anafananisha na makarasha ya kokoto kwa hiyo kubishana na mtu kama huyo unapoteza nguvu zako bure. Maana anabisha kitu ambacho hakielewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…