Kahama VS Njombe/Mafinga

Upuuzi huu angalia TRA Njombe n KHM uone tunavyowakimbiza kwa mapato
Mumelundikana kwenye vibanda vya tembe kama nyumbu mnategemea mtaendelea nyie kweli? Mtachenjua mabaki ya makinikia hadi makalio yaote sugu
Mna nini nyie cha maana,kwa taarifa yako tuu katika kufikia lengo la serikali kuwa na umeme mg 10,000 by 2025 huku Njombe kuna plants 3 za hydrodams zitajengwa zote hizo zinazidi kuongeza investments za kitaifa kwetu huko machimboni mkifukua hiyo borrow pit ikikata mtapauka Hadi mkome
Kahama is future less town hakuna investor ataweka hotel kwa maskini nyie huko ni gests na bar zinawatosha ndo mnaita maendeleo
 
Cha Kuongezea Magu alivyokuja Njombe alisema wananchi wa mikoa mingine wajifunze ujenzi wa Nyumba bora kwa Njombe.Uzuri wa Njombe hata maskini anamiliki kaasset fulan
 
Usiwaonee wivu Njombe kuwa na mji wenye miti.Miji yenye miti inapendeza babu,siyo majangwa.Kuna mtu anapenda jangwa?
Angalia mji kama Tunduma ni mkubwa lakini haupendizi kwa vile hakuna miti ndo sampuli za kina Kahama,miji dizaini hiyo ya majangwa ilishanishinda mda wote unapauka na jua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…