ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #881
Mumelundikana kwenye vibanda vya tembe kama nyumbu mnategemea mtaendelea nyie kweli? Mtachenjua mabaki ya makinikia hadi makalio yaote suguUpuuzi huu angalia TRA Njombe n KHM uone tunavyowakimbiza kwa mapato
Mna nini nyie cha maana,kwa taarifa yako tuu katika kufikia lengo la serikali kuwa na umeme mg 10,000 by 2025 huku Njombe kuna plants 3 za hydrodams zitajengwa zote hizo zinazidi kuongeza investments za kitaifa kwetu huko machimboni mkifukua hiyo borrow pit ikikata mtapauka Hadi mkome
Kahama is future less town hakuna investor ataweka hotel kwa maskini nyie huko ni gests na bar zinawatosha ndo mnaita maendeleo