Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama kuna nini ambacho hakipo kwingine?
Ni mji wa kawaida tu kahama.
Siifaham sana kiundani njombe bt ukiitazama kahama ni vile watu wanaiongelea kimihemko tu
Unajua ukiingalia kiserikal kwa jicho la TRA, kahama u cant even compare na wilaya ya Mufindi kwa ukusanyaji mapato angalau Geita.

Mwka huu nilikua kweny meeting na meneja wa tra mwanza nakumbuka akiwa analalamikia tra wanaweka target za makusanyo ya mapato makubwa kwa mkoa wake kuliko mikoa kama geita na mingine ambayo wana vyanzo adhimu vya mapato biashara za Madini.

Ukizungumzia fursa na upatikanaji wake kati ya kahama na njombe, kila wilaya ina vyanzo ambayo havipo mahal pengine kwa kuzingatia kanda hiz mbili sasa hw come u campare sukari na chumvi?

NB
Personally napapenda zaid njombe.
Ahahahahahahaha.

 
Watu wengi wakipita Njombe wanapita Lami tu lakini ukianza kuzunguka ndio unajua kua Njombe imejengeka,kuna Nyumba za gorofa moja au mbili nyingi tu kwa sasa na kwa kua mji uko na vijilima huwezi kuona mji wote ni hadi utembee tembee.Njombe is a lovely City pamoja na kua maisha yangu hayako njombe but still nikicompare na other places in Tanzania including Kahama kuna tofauti kubwa sana
Kahama itabaki juu tuu siku zote
 
Njombe inaweza kuipita Lindi ila sio Iringa na Songea
Lindi hii yenye cubic feet trillion kadhaa za gas, au?! Kwa sasa inaweza kuipita au imeshaipita lakini akija kiongozi anayefahamu umuhimu wa uchumi wa gas, mikoa mingi itasubiri!

Nikukumbushe tu kwamba kabla ya Magu, pale Lindi ilikuwa ijengwe gas processing plant yenye thamani ya takribani TZS 70 Trillion!

Changanya uwekezaji wote uliopo Tanzania, I doubt kama unafikia TZS 70 Trillion!
 
Ukilinganisha Kahama na Mafinga naweza kukuelewa ila sio Njombe. Kwa Kahama na Mafinga kimaendeleo naweza sema zinaenda sambamba.Japo Kahama inaweza kuwa mbele kidooogo kwa sababu ya madini. Japo kwa fursa Mafinga zipo za kutosha hasa biashara ya Mbao/miti na kilimo cha chai.Kwa ujenzi wa nyumba bora mafinga wako juu hadi vijijini kuna nyumba nzuri sana.
 
maneno meeengi lakini zero on ground,we call wishful thinking
 
Sasa kama nyumba ni bora Mafinga na hata muonekano wa mji kiujumla Mafinga iko njema huko kahama watu wanaishi kwenye tembe au zizini au kwenye mashimo ya migodi maana kila nyanja ni hovyo kabisa huko kahama ,yaani mji kama gulio fulani hivi
Njombe ni makao makuu ya mkoa usisahau hilo
 
Watakuelewa kadiri wanavyopigwa bao,wanadhani zile nyumba za old town along main roads ndo Njombe ..Tofauti ya Njombe na hivyo vimiji vyenu uchwara ni kwamba Mji wetu umejengeka kila mahala na uko covered na greenish vegetation plus vilima vya hapa na pale ni kama Mbeya ina vimilima huwezi ona mji halisi kwa kupita barabara kuu tuu
 
Mkuu sikuwahi kusikia hou mpango wa mradi, tukiwaambia watu magufuli ameua uchumi wapambe wake wanatetea, nini kilitokea wakaacha kufanya mradi huo ?, au yaleyale ya ushamba wa kiuchumi ?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…