Hali ya hewa mufindi siyo kivipi?Mufindi inabebwa na chai na mbao mkuu...!mufindi hali ya hewa sio kbs Kahama hali ya hewa nzuri sana...alafu ni mpakani kwanchi ..so mishe mob .!
Mafinga nafikiri papo vizuri ya kahama. Kimazingira, maendeleo na maendeleo kiujumla ,Umepima vipi kujua kipato mafinga kiko juu zaid ya kahama!
Pia elimu, usafi, na kujengeka
Swali lngne, ulishawah kukaa sehemu zote?
...
Kimazingira inaezekana... kwasababu ya hali yake.Mafinga nafikiri papo vizuri ya kahama. Kimazingira, maendeleo na maendeleo kiujumla ,
Sent using Jamii Forums mobile app
Si hayo ya ooh rais aje wa uchumi wa gas ,mara ooh kahama sijui nini wakati nothing on ground
Njombe ni regional hq,vijiji ni kama kahama huko usifananishe Njombe na vimiji uchwara vya kufanyia uchuuzi na magulio.Njombe ni makao makuu ya baadhi ya taasisi mfano dayosisi ya kusini kati ya kkkt,kuwa na adabu mkuuWewe ndio unaporojo. Tena hewa kabisa. Tunasisitiza, Njombe ni Kijiji. Period
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu anaesema kahama ni kuzuri kuliko Njombe/Mafinga kwa vile eti watu wanazurura hadi ucku basi tuseme pia Tunduma ni kuzuri kuliko Njombe/Mafinga kwa vile nako uzururaji na makelele ya kwenye starehe ni kama kahamaMafinga nafikiri papo vizuri ya kahama. Kimazingira, maendeleo na maendeleo kiujumla ,
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ubishi umefikia hadi kusema hali ya hewa kahama ni nzuri kuliko eden ya tzn basi wewe huna tofauti corona virus mleta covid-19 anaebisha kusalimu amri kwa kila dawaMufindi inabebwa na chai na mbao mkuu...!mufindi hali ya hewa sio kbs Kahama hali ya hewa nzuri sana...alafu ni mpakani kwanchi ..so mishe mob .!
Sasa faza kuna mji unajengeka kama hakuna pesa? watu wanajengewa na suma jkt au? pangekuwa pagumu usingeona magorofa yanasimama daily,ingekuwa kama huko kahama mnakosema kuna pesa but life ni hovyo..nikiwaambia Kahama ni mji wa wachuuzi kama gulio mnabishaMufindi nimekaa especially makao makuu Mafinga ni mji mzuri labda useme hali ya hewa safi na ustaarabu safi ila mzunguko wa hela,fursa n.k halooo mji mgumu ule halafu ndugu zangu wahehe naonaga washamba hahahhah ila wapole na huruma ipo.
Kahama Sijawahi kufika to be honest ila kuna watu wa karibu wanakusifia mzunguko wa hela uko mkubwa a fursa kedekede biashara zipo onfire. Hapa ilibidi tulinganishe hii miji midogo Mafinga na kahama kwenye fursa za kiuchumi na mzunguko wa pesa si vinginevyo maana mafinga ukisema kwenye kujengeka na mazingira ataibuka kidedea while kwenye fursa na mzunguko wa pesa atalazwa chali na Kahama.
Hizi hadithi toka enzi za mkwere hadi sasa jpm amemaliza awamu ya kwanza nyimbo ni hizo hizo labda arudi mzee wa uchumi wa gas prof MuhongoYaani ndio unaskia leo halafu mbio kulaumu watu, what a foolish, wewe sio mshamba Bali ni ignorant.
Uwekezaji wa $30bn ni mkubwa sana, negotiations plus makampuni yenyewe, sababu ni joint investment, stakeholders engagement takes time. The project is scheduled on 2022
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo taarifa za 2022 nazifahamu lakini huwa nazipuuza kwa sababu bado sijaiona ile nia thabiti ya serikali! Taarifa za 2022 wala hazina tofauti na taarifa ambazo serikali bado huwa wanasema "ujenzi wa bandari ya Bagamoyo bado upo pale pale" lakini ukiwa mfuatiliaji wa hii miradi, hutapata taabu kuona kauli gap lililopo kati ya kauli na vitendo!!
Ndio nakubaliana sema kuna watu wanaona msitu wa sao hill na mashamba ya chai sijui ndo nini wakati ni ya minority,kuhusu hali ya hewa ipo saf tu mbona kama Arusha tofaut na dar,tanga,Moro and the like,sema I wish mwisho wa mwaka huu nifanye tour Mwanza then Kahama kuangalia fursa tukaribishane unaonekana fighter nimekupenda bure Boss ladyMufindi inabebwa na chai na mbao mkuu...!mufindi hali ya hewa sio kbs Kahama hali ya hewa nzuri sana...alafu ni mpakani kwanchi ..so mishe mob .!
Sio kwamba Mwekezaji amehamishia Msumbiji... la hasha! Mradi wa Msumbiji ni wa Msumbiji na wa Tanzania ni wa Tanzania!Mkuu mbona kuna taarifa huu mradi mwekezaji ameuhamishia msumbiji baada ya urasimu mwingi hapa kwetu? Kuna ukweli wowote?
Mkuu mzunguko wa hela haupo sana elewa hilo mbao siku sio ishu na biashara hazitoki mafinga na iringa yake Nimekaa pia iringa town duh mji mgumu labda ujenge gest house maana naona zipo nyingi I guess nyie wahehe ni ngono kwenda mbeleSasa faza kuna mji unajengeka kama hakuna pesa? watu wanajengewa na suma jkt au? pangekuwa pagumu usingeona magorofa yanasimama daily,ingekuwa kama huko kahama mnakosema kuna pesa but life ni hovyo..nikiwaambia Kahama ni mji wa wachuuzi kama gulio mnabisha
Ndio nakubaliana sema kuna watu wanaona msitu wa sao hill na mashamba ya chai sijui ndo nini wakati ni ya minority,kuhusu hali ya hewa ipo saf tu mbona kama Arusha tofaut na dar,tanga,Moro and the like,sema I wish mwisho wa mwaka huu nifanye tour Mwanza then Kahama kuangalia fursa tukaribishane unaonekana fighter nimekupenda bure Boss lady
Mkuu mzunguko wa hela haupo sana elewa hilo mbao siku sio ishu na biashara hazitoki mafinga na iringa yake Nimekaa pia iringa town duh mji mgumu labda ujenge gest house maana naona zipo nyingi I guess nyie wahehe ni ngono kwenda mbele
Huu mjadala ulishafungwa siku nyingi na mshindi alikuwa KAHAMA [emoji124][emoji124]What do you mean Minority, Kati ya Madini na Kilimo which one is for Minority,
Ndio maana nilitaka tuweke parameters
1.Elimu -Idadi ya Mashule , wasomi, Taasisi za Elimu nk
2.Maji Safi - Accessibility
3.Makazi ya Watu
4.Huduma za Afya- Uwepo wa Mahospitali na 5.Vituo vya afya na community Phrmacies
6.Miundombinu ya Barabara n.k
7.Viwanda
Hivi ndio vigezo vya kupima maendeleo, sio mihemko,
Na Kati ya havyo vyote nimeweka nadhani tutakubaliana kuwa Njombe/ Mafinga zimeacha kahama
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu mjadala ulishafungwa siku nyingi na mshindi alikuwa KAHAMA [emoji124][emoji124]
Kuku wa kijani wewe.Yaani ndio unaskia leo halafu mbio kulaumu watu, what a foolish, wewe sio mshamba Bali ni ignorant.
Uwekezaji wa $30bn ni mkubwa sana, negotiations plus makampuni yenyewe, sababu ni joint investment, stakeholders engagement takes time. The project is scheduled on 2022
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nadhani wewe ungekaa kimya usikilize maoni ya wadau kwa sababu wewe ulikosa jibu ndio maana ukauliza swali hapa jukwaani !!Mtu anaesema kahama ni kuzuri kuliko Njombe/Mafinga kwa vile eti watu wanazurura hadi ucku basi tuseme pia Tunduma ni kuzuri kuliko Njombe/Mafinga kwa vile nako uzururaji na makelele ya kwenye starehe ni kama kahama
Lakini zaidi ya makelele hakuna kitu ndio maana hata ujenzi tu wa nyumba na mahoteli uko vizuri Njombe/Mafinga kuliko huko machimboni kahama