muokotamatunda
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,614
- 1,202
songea nayo ina nini hasa,?jaman tuwe serious.Shinyanga-Mwanza ni mbali sana wewe mtu wa njombe una matatizo
.
Ona una ndoto mfu tena kwamba Njombe baada ya miaka 10-15 utazipita Iringa na Songea hivi hao watu wa Iringa watakuwa wamelala tu?
.
Njombe inaweza kuipita Lindi ila sio Iringa na Songea
Hawa jamaa hawako serious kabisa ivi njombe ndo ulinganishe na Kahama? tena nashangaa mnaanza kuilinganisha Kahama na mafinga? Huu utani kabisa tena wa hali ya juu, Kahama iko juu Sana Sana .
[emoji134][emoji134][emoji134] Kwan kwetu hakuna kityuh lol, jaman mmmmh
Songea iko miaka mingi sana
Hawa jamaa hawako serious kabisa ivi njombe ndo ulinganishe na Kahama? tena nashangaa mnaanza kuilinganisha Kahama na mafinga? Huu utani kabisa tena wa hali ya juu, Kahama iko juu Sana Sana .
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa jamaa hawako serious kabisa ivi njombe ndo ulinganishe na Kahama? tena nashangaa mnaanza kuilinganisha Kahama na mafinga? Huu utani kabisa tena wa hali ya juu, Kahama iko juu Sana Sana .
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuhemka kwa porojo weka ushahidi,iko juu kwa lipiHawa jamaa hawako serious kabisa ivi njombe ndo ulinganishe na Kahama? tena nashangaa mnaanza kuilinganisha Kahama na mafinga? Huu utani kabisa tena wa hali ya juu, Kahama iko juu Sana Sana .
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ulishawahi kufika kahama kweli?? ....... Yaani mafinga uifananishe na kahama kweli? Hauko serious!Nimeweka vigezo hivi,
1.Maji Safi
2.Elimu
3.Huduma za Afya
3.miundombinu ya Barabara
4.Usafiri wa Uma
5. Makazi
6.Hali ya Hewa na Mazingira law ujumla
7.Viwanda
Katika hivyo vyote Mafinga imepiga gap kubwa sana Hiyo kahama , Hiwezi fananisha mji civilised na sehemu za makelele na mavumbi kama kahama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaonekana hata hujui ulisemalo,nikuulize hivyo vijiji ulivyovitaja vina hadhi ipi kwenye muundo wa mamlaka ya serikali za mitaa? Mafinga na Njobe ni Town councils long time kitambo kabla ya hicho kijiji cha kahama,baada ya migodi kuanza ndio kahama ikajikongoja but our towns have been claiming stead growth unlike kahama ambayo siku tu migodi ikigeuka mashimo kahama na hivyo vijiji ulivyovitaja vitageuka kuwa vijiji vikongwe yaan ghost towns wakati wenzio huku ndio kwaanza kuakucha maana kuna every thing,yaani future ya miji ya kusini very bright kuliko huko machimboniMkuu ulishawahi kufika kahama kweli?? ....... Yaani mafinga uifananishe na kahama kweli? Hauko serious!
Mafinga ilinganishe labda na Katoro, karagwe, ngara, kaliua, sikonge na kibiti ....
Mafinga sio level ya kahama imeachwa mbalii sanaa na kahama.
Mkuu ulishawahi kufika kahama kweli?? ....... Yaani mafinga uifananishe na kahama kweli? Hauko serious!
Mafinga ilinganishe labda na Katoro, karagwe, ngara, kaliua, sikonge na kibiti ....
Mafinga sio level ya kahama imeachwa mbalii sanaa na kahama.
Unaijua nguvu ya Dhahabu kweli wewe?Unaonekana hata hujui ulisemalo,nikuulize hivyo vijiji ulivyovitaja vina hadhi ipi kwenye muundo wa mamlaka ya serikali za mitaa? Mafinga na Njobe ni Town councils long time kitambo kabla ya hicho kijiji cha kahama,baada ya migodi kuanza ndio kahama ikajikongoja but our towns have been claiming stead growth unlike kahama ambayo siku tu migodi ikigeuka mashimo kahama na hivyo vijiji ulivyovitaja vitageuka kuwa vijiji vikongwe yaan ghost towns wakati wenzio huku ndio kwaanza kuakucha maana kuna every thing,yaani future ya miji ya kusini very bright kuliko huko machimboni
Hakuna sehemu ya hovyo kuishi hapa Tzn kama huko kanda ya ziwa..Nyanda za juu kusini ndio sehemu salama na ya uhakika kuishi,umewah sikia kuna ukame au njaa au umaskini hukunkama huko kwenu? au umeshaona kuna nyumba za tembe huku kwetu kama huko kanda ya ziwa kunakoongoza kwa umaskini na ushamba?Kwa kifupi kanda ya ziwa kulishakucha zamani huwezi kulinganisha na huko kusini ambako ndo kwanza bado saa 8:00 usiku wa manane hata jogoo hajawika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui dhahabu inawasidia nini maana mnaishi hovyo kama nguruwe na mnaongoza kwa umaskini huko..Chunya kuna dhahabu lakini ni bush kuliko Mbozi ,the same applies tu huko kanda ya ziwaUnaijua nguvu ya Dhahabu kweli wewe?
Kusini ni sehemu ya hovyo sana kuishi hapa nchini, miaka nenda rudi mnalia maisha magumu serikali imewasahau. Kimbembe huwa kinakuja mtumishi wa umma akipangiwa kusini! Wengu hujawa msongo wa mawazo na wengine huacha kazi kabisa.Hakuna sehemu ya hovyo kuishi hapa Tzn kama huko kanda ya ziwa..Nyanda za juu kusini ndio sehemu salama na ya uhakika kuishi,umewah sikia kuna ukame au njaa au umaskini hukunkama huko kwenu? au umeshaona kuna nyumba za tembe huku kwetu kama huko kanda ya ziwa kunakoongoza kwa umaskini na ushamba?
Kusini ipi ambayo serikali imesahau? scope yangu ya kusini ni Ruvuma,Njombe,Iringa,Mbeya,Rukwa sasa kwenye mikoa hiyo serikali imesahau wapi wakati tuko juu kwa viwango vyote vya maisha ukilinganisha na huko machimboni? Hapo mikoa yenye iko nyuma kidogo sio sana ni Rukwa na Ruvuma ambako barabara zilichelewa lakini saizi iko vizuri na maisha matamu sana.Kusini ni sehemu ni sehemu ya hovyo sana kuishi hapa nchini, miaka nenda rudi wanalipa mnalia maisha magumu serikali imewasahau. Kimbembe huwa kinakuja mtumishi wa umma akipangiwa kusini! Wengu hujawa msongo wa mawazo na wengine huacha kazi kabisa.