Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

ChoiceVariable We jamaa nmeona hapo juu umesema et siku dhahabu ikiisha kahama itabaki ghost city kwa taarifa yako mji wote ule ni dhahabu yaan watu tumejenga juu ya hela kule si ajabu hata kupalilia nyumba yako tu unapata gold..tafuta thread humu uone kahama imezungumziwa mara ngapi na hiko ki njombe chako
acha porojo msingekuwa mnaongoza kwa umaskini..kama mji wote ni dhahabu mnasubiri nini kugeuza vibanda vyenu migodi badala yake mnagombania na wazungu michanga huko?
 
Kusini ipi ambayo serikali imesahau? scope yangu ya kusini ni Ruvuma,Njombe,Iringa,Mbeya,Rukwa sasa kwenye mikoa hiyo serikali imesahau wapi wakati tuko juu kwa viwango vyote vya maisha ukilinganisha na huko machimboni? Hapo mikoa yenye iko nyuma kidogo sio sana ni Rukwa na Ruvuma ambako barabara zilichelewa lakini saizi iko vizuri na maisha matamu sana.
.kamwe siwezi ishi mikoa kame ya kanda ya ziwa na uzuri naifahamu nimeishi mwanza,geita,shinyanga,singida na arusha
Mikoa kame! Mwanza, Geita, Kagera, Simiyu, Mara ni mikoa kame?! Labda shinyanga kidogo ndo Kuna kaukame, 🤣🤣🤣wewe utakuwa ulienda Dodoma si bure
 
Hakuna sehemu ya hovyo kuishi hapa Tzn kama huko kanda ya ziwa..Nyanda za juu kusini ndio sehemu salama na ya uhakika kuishi,umewah sikia kuna ukame au njaa au umaskini hukunkama huko kwenu? au umeshaona kuna nyumba za tembe huku kwetu kama huko kanda ya ziwa kunakoongoza kwa umaskini na ushamba?
Mkuu jaribu kuwa specific kanda ya ziwa ni kubwa na ina aina tofauti ya maisha kwa maeneo tofauti
 
Amen.

Hilo ni jiji la mwanza
tapatalk_1586316306275.jpeg
tapatalk_1586316440158.jpeg
tapatalk_1586316437533.jpeg
tapatalk_1586316315557.jpeg
tapatalk_1586316442630.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Millions of watu wamerundikana hapa mjini ili kujikimu simply mengi ya maeneo ya kanda ya ziwa yaliyosalia sio liveabe,ukame wa mara kwa mara na njaa ..Kanda hii,Kati na Pwani ndio mnaongoza kwa umaskini na kuishi kwenye tembe.Ndio maana si ajabu kukuta Miji michache sana imeendelea na maeneo mengi ni hovyo kabisa
Hali kama hii huwezi ikuta Nyanda za juu Kusini,,Kuanzia Ilula hadi Tunduma,all the way to Sumbawanga ni miji na vijiji vilivyoendelea..Kuanzia Makambako hadi Songea to mbamba bay huwezi kuta tembe na waganga njaa wanaozurura na kulundikana miji michache kama kanda ya ziwa
 
Mkuu jaribu kuwa specific kanda ya ziwa ni kubwa na ina aina tofauti ya maisha kwa maeneo tofauti
Shinyanga,simiyu,Mara isipokuwa Tarime na Musoma mjini,Mwanza yote kasoro mjini,Geita huko..Hapo naikubali kagera tuu maana ni green the whole year kama tu huku Nyanda za Juu Kusini
 
Mikoa kame! Mwanza, Geita, Kagera, Simiyu, Mara ni mikoa kame?! Labda shinyanga kidogo ndo Kuna kaukame, 🤣🤣🤣wewe utakuwa ulienda Dodoma si bure
Kwenye hiyo orodha toa Kagera tuu,the rest ni pata potea,kunyesha kukauka..Nimeishi mwanza mara kadhaa mvua zinanyesha watu wakipanda zinakata njiani wakati mimea bado kukomaa sio kwamba hazinyeshi kabisa..Hali kama hiyo huwezi ikuta Nyanda za juu kusini
Hata mwaka huu mvua zimenyesha sana nchi nzima lakini kutokana na mazingira yenu ya tambarare kuna mafuriko kila kona huko kwenu tofauti na kusini ambako maji yana mikondo yake ya mabonde hatujapata hizo shida kama kwenu huko na ukanda wa Pwani..Huko ni maeneo hovyo kabisa ya Kuishi
 
Kuna miji watu wanaichukukia Poa sana, mtu akipita tu akiwa safari tayari huo mji anaujua sana.
Kahama ni Mji uliochangamka sana na Njombe ni Mji uliojengeka vizuri hata ukubwa.
Kahama fananisha na Mnafunga na Makambako japo Kahama Wapo juu kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna miji watu wanaichukukia Poa sana, mtu akipita tu akiwa safari tayari huo mji anaujua sana.
Kahama ni Mji uliochangamka sana na Njombe ni Mji uliojengeka vizuri hata ukubwa.
Kahama fananisha na Mnafunga na Makambako japo Kahama Wapo juu kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna cha juu zaid,i kupita na kukuta watu wanakimbizana tu barbarani kama gulioni ndio hicho tuu kinafanya watu waone kahama iko vizuri,mara utasikia usiku kama mchana na blaa blaa kibao za hivyo lakini kwenye kila aspect Kahama ni hovyo sana kulinganisha na Njombe
Miji sampuli ya Kahama ni Tunduma,Masasi,Ifakara,Mbinga,Makambako,Kibaigwa nk Mafina itoe hapo.Miji hiyo nimetaja .iko busy kama uko gulioni au mnadani ,no order lakini ni hovyo kabisa kwenye kila nyanja ipo kwa ajili ya kuchuma pesa tuu,but Njombe imejengeka na imesambaa sana..Ni makao makuu ya dayosisi 3 za makanisa wa RC,KKKT,Sabato na Taasisi mengine kibao..Ndio maana ukichukua hata aerial view ya Njombe ni nzuri kuliko Kahama.Kila mara nauliza kama Njombe haipiti Kahama kwa nini kuwe na mahotel na magorofa makubwa makubwa kuliko Kahama?
 
Kwenye hiyo orodha toa Kagera tuu,the rest ni pata potea,kunyesha kukauka..Nimeishi mwanza mara kadhaa mvua zinanyesha watu wakipanda zinakata njiani wakati mimea bado kukomaa sio kwamba hazinyeshi kabisa..Hali kama hiyo huwezi ikuta Nyanda za juu kusini
Hata mwaka huu mvua zimenyesha sana nchi nzima lakini kutokana na mazingira yenu ya tambarare kuna mafuriko kila kona huko kwenu tofauti na kusini ambako maji yana mikondo yake ya mabonde hatujapata hizo shida kama kwenu huko na ukanda wa Pwani..Huko ni maeneo hovyo kabisa ya Kuishi
Mimi mwenyewe sijalinganisha ila nasema kanda ya ziwa sio pakame labda kama hujui maana ya ukame, kusini kunamvua nyingi kuliko kanda ya ziwa ila kanda ya ziwa sio pakame, hiyo misimu ya shidashida hujitokeza mara moja moja yaani ni kama huko kwenu imetokea mvua zimezidi sana, tarime, Serengeti, ngara, sengerema, geita, nk kote huko watu wanalima na kuvuna.
 
Millions of watu wamerundikana hapa mjini ili kujikimu simply mengi ya maeneo ya kanda ya ziwa yaliyosalia sio liveabe,ukame wa mara kwa mara na njaa ..Kanda hii,Kati na Pwani ndio mnaongoza kwa umaskini na kuishi kwenye tembe.Ndio maana si ajabu kukuta Miji michache sana imeendelea na maeneo mengi ni hovyo kabisa
Hali kama hii huwezi ikuta Nyanda za juu Kusini,,Kuanzia Ilula hadi Tunduma,all the way to Sumbawanga ni miji na vijiji vilivyoendelea..Kuanzia Makambako hadi Songea to mbamba bay huwezi kuta tembe na waganga njaa wanaozurura na kulundikana miji michache kama kanda ya ziwa
Sorry kanda ya ziwa ni kubwa mno.

Kuna Kagera(bukoba) ,Geita ,mwanza,mara,NK

Unaposema bukoba pakame wakati ndo wilaya inayoongoza Kwa mvua tz unashangaza.halafu unasema nyumba za tembe .sijui kama ulishawahi ona vijiji vya wahaya? Huko bukoba au muleba Kagera.

Mfano tu huko bukoba vijijin.

Hapa ni kijiji cha kabulala kata ya buganguzi wilaya ya muleba Kagera kanda ya ziwa
bg9.jpeg
2ddf50080989_2208104806094704_8545723568749543424_n%20(1).jpeg
1aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.jpeg
51.jpeg
b1.jpeg
bg%2012%20(1).jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Millions of watu wamerundikana hapa mjini ili kujikimu simply mengi ya maeneo ya kanda ya ziwa yaliyosalia sio liveabe,ukame wa mara kwa mara na njaa ..Kanda hii,Kati na Pwani ndio mnaongoza kwa umaskini na kuishi kwenye tembe.Ndio maana si ajabu kukuta Miji michache sana imeendelea na maeneo mengi ni hovyo kabisa
Hali kama hii huwezi ikuta Nyanda za juu Kusini,,Kuanzia Ilula hadi Tunduma,all the way to Sumbawanga ni miji na vijiji vilivyoendelea..Kuanzia Makambako hadi Songea to mbamba bay huwezi kuta tembe na waganga njaa wanaozurura na kulundikana miji michache kama kanda ya ziwa
Sidhan kama ulishawahi kutembelea uhayan huko bukoba Kanda ya ziwa. Mpaka huon aibu kuandika haya.

Nyumba unazoziona mbezi beach sijui mikocheni ndo zimejaa huko bukoba migombani.
Kwa Tanzania kidogo watu wa Kilimanjaro ndo wanaweza kuongea Kwa kujilinganisha na bukoba Kwa vijijin upande wa makazi na huduma za kijamii
3.jpeg
12.jpeg
2089978_58741890_1122811461225119_6596355284268507962_n.jpeg
Screenshot_20200415-110500.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhan kama ulishawahi kutembelea uhayan huko bukoba Kanda ya ziwa. Mpaka huon aibu kuandika haya.

Nyumba unazoziona mbezi beach sijui mikocheni ndo zimejaa huko bukoba migombani.
Kwa Tanzania kidogo watu wa Kilimanjaro ndo wanaweza kuongea Kwa kujilinganisha na bukoba Kwa vijijin upande wa makazi na huduma za kijamiiView attachment 1419602View attachment 1419603View attachment 1419604View attachment 1419605

Sent using Jamii Forums mobile app
Ameshaitoa kagera kwenye list na mim mwanzon nilishangaa alipo-generalize
 
Sorry kanda ya ziwa ni kubwa mno.

Kuna Kagera(bukoba) ,Geita ,mwanza,mara,NK

Unaposema bukoba pakame wakati ndo wilaya inayoongoza Kwa mvua tz unashangaza.halafu unasema nyumba za tembe .sijui kama ulishawahi ona vijiji vya wahaya? Huko bukoba au muleba Kagera.

Mfano tu huko bukoba vijijin.

Hapa ni kijiji cha kabulala kata ya buganguzi wilaya ya muleba Kagera kanda ya ziwaView attachment 1419587View attachment 1419588View attachment 1419590View attachment 1419591View attachment 1419592View attachment 1419595

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha ameshaitoa bukoba nadhan yeye alitaka kusema kwa wasukuma but akashindwa kuwa specific akataja kanda ya ziwa ambayo kiukweli ni kubwa na weather ni tofauti
Kiukwel kanda ya shinyanga ni kame na bado ni wavivu wa kujenga lakin huku vijijin bukoba watu wanajenga aisee
 
Sidhan kama ulishawahi kutembelea uhayan huko bukoba Kanda ya ziwa. Mpaka huon aibu kuandika haya.

Nyumba unazoziona mbezi beach sijui mikocheni ndo zimejaa huko bukoba migombani.
Kwa Tanzania kidogo watu wa Kilimanjaro ndo wanaweza kuongea Kwa kujilinganisha na bukoba Kwa vijijin upande wa makazi na huduma za kijamiiView attachment 1419602View attachment 1419603View attachment 1419604View attachment 1419605

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kukurupuka,nilisha exclude mkoa wa Kagera ila huko kwingine ni matopeni tuu
 
Sorry kanda ya ziwa ni kubwa mno.

Kuna Kagera(bukoba) ,Geita ,mwanza,mara,NK

Unaposema bukoba pakame wakati ndo wilaya inayoongoza Kwa mvua tz unashangaza.halafu unasema nyumba za tembe .sijui kama ulishawahi ona vijiji vya wahaya? Huko bukoba au muleba Kagera.

Mfano tu huko bukoba vijijin.

Hapa ni kijiji cha kabulala kata ya buganguzi wilaya ya muleba Kagera kanda ya ziwaView attachment 1419587View attachment 1419588View attachment 1419590View attachment 1419591View attachment 1419592View attachment 1419595

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kiherehere mkurupuko,nilisha exclude mkoa wa Kagera in general ila the rest ni matopeni tuu
 
Mimi mwenyewe sijalinganisha ila nasema kanda ya ziwa sio pakame labda kama hujui maana ya ukame, kusini kunamvua nyingi kuliko kanda ya ziwa ila kanda ya ziwa sio pakame, hiyo misimu ya shidashida hujitokeza mara moja moja yaani ni kama huko kwenu imetokea mvua zimezidi sana, tarime, Serengeti, ngara, sengerema, geita, nk kote huko watu wanalima na kuvuna.
Huko kote ni semi arid,mvua kiduchi na zisizo na uhakika..nimetoa mfano unaweza lima msimu wa mvua za vuli huwa zunaanza wa tisa by february au january zinakata mazima wakati mazao bado,ko huwa kuna maisha ya kubahatisha sana kwenye kilimo tofautti na Nyanda za juu kusini,haijawahi tokea mvua kufeli
 
Back
Top Bottom