ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #1,021
acha porojo msingekuwa mnaongoza kwa umaskini..kama mji wote ni dhahabu mnasubiri nini kugeuza vibanda vyenu migodi badala yake mnagombania na wazungu michanga huko?ChoiceVariable We jamaa nmeona hapo juu umesema et siku dhahabu ikiisha kahama itabaki ghost city kwa taarifa yako mji wote ule ni dhahabu yaan watu tumejenga juu ya hela kule si ajabu hata kupalilia nyumba yako tu unapata gold..tafuta thread humu uone kahama imezungumziwa mara ngapi na hiko ki njombe chako