Kahama VS Njombe/Mafinga

Unakuta mtu anafanamisha mufindi na Machimboni, yaani unafanamisha Paradise na Sehemu za hovyo za Magulio
View attachment 1423122View attachment 1423123View attachment 1423124

Sent using Jamii Forums mobile app
"Siku zote Mama uwa anapendeza sana, nakuvutia kupita kiasi, Sabab kipato chake usaidia shida ndogo ndogo za kifamilia, Na mahitaji yake binafsi, Baba uwa yuko ovyo ovyo sana na sabab ya mda mwingi uangaika kuinua Pato la Familia... Ivyo sio mtu wakupendeza wala kujali ingawa Pato kubwa la kifamilia utoa yeye"

Kwa mfano 👆 nadhani Kahama ni Baba, usiamini sana unachokijua, Tafuta maelekezo uijue KAHAMA kiundani!
Karibu Golden City...
 
Sijui hata kama unaelewa unachokisema, Inawezekana hujui kama mimi naijua biashara ya Madini, wewe unasimuliwa ila mimi nimeajiri vijana. Hii biashara haina maslahi kwa vijana walio wengi na wanaochimba, kuanzia ugumu wa kazi yenyewe na mazingira yake kwa ujumla, only a buyer makes it to the bank, na bahari mbaya wanunuzi wengi sio wazawa, na kama utaona ndugu yako anaenda huko mpe ushauri afanye kilimo cha kisasa,
Ukiangalia katika upana wake Kilimo kina impact kubwa kwa jamii kuliko Madini, ndio maana Mufindi imeendelea zaidi ya Kahama au Chunya licha ya kuwa kilo za dhahabu zinapatikana huko kila siku,
Kijana anaefanya kilimo ataendelea haraka kuliko anaechimba dhahabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku kahama ikifikia hatua ya kuwa na Viwanda hapo tutakaa na kuzungumza, ila kwa sasa kahama ni mji wa mavumbi na umasikini kama vile tunduma, ile order na mpangilio na mfumo mzuri wa maisha ya watu uliopo sehemu kama Mufindi, au Njombe au Tukuyu bado sana. Hapo Wajanja tunakuja kuchukua pesa za Madini na kufanyia matumizi Dar.
Na hii SGR italeta balaa sana.

Kuna maeneo ya logistic centers tatu tayari yametengwa.

Kutokana na hizo nchi mbili kutoaminika sana kwenye suala la amani,Khm ina nafasi kubwa kupata viwanda vinavyolenga soko la Rwanda na Burundi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukiachana na kuinua mtu mmoja mmoja, Vipi uchangiaji wa mapato kitaifa? unataka kutuaminisha mufindi inachangia pato kubwa kuizidi kahama?
 
Na kingine natilia mashaka kauli zako, unadai umeajili vijana katika biashara ya madini... Nisamehee kwa kukwambia uijui biashara ya madini wewe! Nani ambaye anaweza kuacha kuipiga pesa ndefu kwa gram's za madini tu, Halafu akatafute pesa kwenye Tani za kilimo?
 
Mufindi ni kati ya Halmashauri kumi kitaifa zinazochangia pato la taifa,
Ndio maana nimesema hamuijui nchi yenu.
Mifindi imeshakuwa ya pili mara kadhaa baada ya Ilala.
Tukiachana na kuinua mtu mmoja mmoja, Vipi uchangiaji wa mapato kitaifa? unataka kutuaminisha mufindi inachangia pato kubwa kuizidi kahama?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatz lako una andika kwa mapenz...

Hv unajua kahama kuna shule ngap! Una uhakika hakuna kiwanda kahama!

Ukwel ni kwamba huwez ishi kahama then utaman kuishi mufindi.

Kahama nakujua vzuri japo sio mkazi wa huko.

Mpaka hapa naona... unaongelea mapenz

...
 
Mufindi ni kati ya Halmashauri kumi kitaifa zinazochangia pato la taifa,
Ndio maana nimesema hamuijui nchi yenu.
Mifindi imeshakuwa ya pili mara kadhaa baada ya Ilala.

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu sijui kwanini tu, Watu ambao unakuta elimu awana ndo uwa wanakimbilia kujitia wana elimu... Iko hivi fatilia uelewa kama mufindi imekuwa ya pili chini ya ilala kwa mara moja, Nakujuza hiyo Kahama inapishana na Ilala kwa miaka mingi tu, Kama mufindi imewahi kuwa ya pili... Kahama ishakuwa ya pili kwa muda tu!
 
Kabla sijakupeleka ninakotaka, Nikuulize swali moja simple,
Unajua ni kiasi gani serikali inakusanya toka kwenye Madini (collectively)
Na kwa Ilala unajua bandari inaingiza kiasi gani kwa mwezi, unadhani una akili ya kujibizana na mimi kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu kumbe wewe ni mnya mwima eti... Mbona unatukana watu sasa? mii nmeishia hapa kwa leo.
 
Mufindi ina shule za sekondari 40 plus, nimeweka hapo reply No 1087, Kahama zipo ngapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toka ulipo tusi tu...nkajua wewe ni kibiringisha mavi, hakuna mjadala Tena hapa.
 
Wajinga, mimi nataka wafunguke macho ila wanakaa kubishana, na ushamba vichwani.
Kuna fala mmoja anajisifu eti kahama inakusanya Mapato sawa na Ilala, ila bahati mbaya anashindwa hata kyhoji tofauti ya level ya Maendeleo kati ya Ilala na hiyo kahama ikiwa ni kweli wana Mapato yanayolingana..
Nilidhani labda watu wataanza kujiuliza hela za Madini zinaenda wapi ikiwa Mufindi kwa Kilimo tu wanaweza fika walipofika..
Mimi ni mkazi wa Kilolo.
Halafu kumbe wewe ni mnya mwima eti... Mbona unatukana watu sasa? Kilaza kutoka mufindi, mii nmeishia hapa kwa leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe hapo umeimba pambio sio? Halafu stupid sio tusi, no mtu mjinga, kwa Lugha rahisi ni mtu asiye na maarifa.
Unapokutana na mtu ignorant kama wewe lazima utukane ili akili zake zijikusanye
Toka ulipo tusi tu...nkajua wewe ni kibiringisha mavi, hakuna mjadala Tena hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapi huko kwenye maghorofa😆😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…