Kahama VS Njombe/Mafinga

Basi tuachane na Ilala maana umeshindwa kuleta takwimu .......
Lini Mafinga ilikuwa juu Kahama kwa kukusanya mapato mengi tuanze hapa kwanza
Kwa maana ya towns council Kahama town(6.2 bln) iko juu lakini kwa maana ya mapato ya Wilaya nzima yaani Mafinga town(4.2bln) na Mufindi DC(4.5bln),Mapato ni Mengi kushinda Kahama,pia TRA inakusanya mapato Mengi Wilaya ya Mufindi kuliko Kahama,hizo takwimu ni za 2018/2019 kwa mapato ya Ndani ya Halmashauri
 
Kufananisha kahama na mufindi ni dharau...

Kahama wako vzur ase...

msidanganyane hapa

...
Tunalinganisha kwa porojo na mihemko kama yako au kwa facts mkuu? Weka facta acha porojo sisi tumeweka facts,unaposema wako juu ,ni juu kwa lipi
 
Yaani kwa hizo parameters zote Kahama ni chalii,ila utasikia wasukuma wakikwambia khm iko juu kwa hisia,haaaa
 
Mkuu umepanic wakat ndo mwanzo tu wa nyundo ulizopewa,pole sana ila hapa hatuongei blaa blaa na porojo ila facts with evidences kama tulivyoziwasilisha
Dhahabu gani isiyowasaidia mnapauka tuu huko? umaskini umejaa huko magulioni pole sana vumilia tuu ukweli lazima usemwe tuu
 
Ujue ushamba na ujinga wa hawa herders ndio unawasumbua,hadi sasa wameshindwa ku justify na kutetea mji wao..Ni vyema kutofautisha Mji na machimbo
 
Unatumia nguvu kubwa sana... kuaminisha watu, we unahs watu hawajawah kufika huko mufindi

Ukiona picha za dodoma zilivyo na ukifika dodoma ni tofaut kwahyo acha kupumbaza watu.



...
Nguvu kubwa ipi kwani kila siku husomi takwimu za serikali kuhusu umaskini wa huko usukumani na ustawi wa Nyanda za Juu? picha zinasadifu,hiyo Dom unayoitaja ni sawa tu na huko kwenu,uchumi haujashikiliwa na wenyeji tofauti na Mafinga au Njombe
Kwa mantiki hiyo anaetumia nguvu ni wewe ambaye huna facts ili udanganye wasiojua kuja kupauka na kuishi maisha ya hovyo hovyo huko usukumani
 
Na hii SGR italeta balaa sana.

Kuna maeneo ya logistic centers tatu tayari yametengwa.

Kutokana na hizo nchi mbili kutoaminika sana kwenye suala la amani,Khm ina nafasi kubwa kupata viwanda vinavyolenga soko la Rwanda na Burundi.
We want things happen on grounds sio wishful thinking na porojo mkuu..Tukianza kutaja kilichopangwa kwa kila mji hutoweza kuhimili.Tunduma pale pamejaa ma yard na malori mara kumi ya huko Kahama lakini Tunduma sio mji bora kupita Kahama au Tunduma
 
Ndio maana ya utofauti wa miji ya magulioni na wastaarabu,kwa hoja yako ni dhahiri huku kuna tabaka la wenye pesa tofauti na uswahili wa huko migodini
 
Ndio maana ya utofauti wa miji ya magulioni na wastaarabu,kwa hoja yako ni dhahiri huku kuna tabaka la wenye pesa tofauti na uswahili wa huko migodini


😅😅😅...huko gunia la viazi unachukua (let say kwa 40)...unalipeleka dar..tuseme unaweza pata 20@....sasa huku wenzako wanatengeneza kuanzia 50-80@! Tena huyo ni yule asie na mtaji...!
Sema utofauti huko wanaiheshim hela sio huku...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…