Kahama VS Njombe/Mafinga

Weka wazi kabisa na kuna bank zenye branch zaidi ya moja hapo hapo Kahama mjini
 
Kwa hiyo unataka waache kujenga eti kisa Mafinga kipo cha nguzo za tanesco? Au una maanisha nini?
We jamaa punguza wivu [emoji23]
Huyo atakua anasifia kwao,ila kiukweli kahama inazidi mikoa ya kusini kimapato plus mzunguko wa pesa,geita haina uchumi wa kahama hata nusu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi ulikuwa ushakuwa mrefu... Kumbe awakujua wanaringanisha mwanaume na mvulana!
 
Ujue ushamba na ujinga wa hawa herders ndio unawasumbua,hadi sasa wameshindwa ku justify na kutetea mji wao..Ni vyema kutofautisha Mji na machimbo

Mimi nimefika kahama several times ni mji wa hovyo sana.
Yaani ukitoa madini yanayokwisha labda pamba nayo walimaji wamekata tamaa kabisa.
Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi linganisha Mfundi na kahama hata kidogo
Labda alinganishe kahama na kilindi au kiteto au wilaya ya mvomelo lakini sio mufindi
 
We fika tu, TAMISEMI inaitambua miji mitatu tu iliyokidhi hadhi ya kuwa Manispaa Tanzania nzima ambayo ni Kahama, Geita na Kibaha na kigezo kimoja wapo ni uwezo wa mji kujitosheleza kimapato kwa zaidi ya 70%. Mkome kulinganisha Kahama na vitu vya kijinga, Kahama sio level za Njombe/ Mafinga labda mjilinganishe na kata ya Kagongwa.
 

Tamisemi yawezekana kuna bias sana.
Wewe kwa akili zako zaidi ya dhahabu kitu gani kinaingizia pato la Taifa toka kahama?

Mimi nakutajia Mufindi
1. Mbao
2. Magogo
3. Pareto
4. Chai
5. Mchele
6. Mahindi
 

Nimechunguza pia level yako ya uelewa alafu inaonesha ulipitolewa moshi kule kishumundu ukawekwa pale kahama kuuza simu ndio maana tunapata taabu sana kukuelewesha.
 
Tamisemi yawezekana kuna bias sana.
Wewe kwa akili zako zaidi ya dhahabu kitu gani kinaingizia pato la Taifa toka kahama?

Mimi nakutajia Mufindi
1. Mbao
2. Magogo
3. Pareto
4. Chai
5. Mchele
6. Mahindi
Wacha kulinganisha dhahabu na vitu vya kijinga Mkuu, utachekwaaa
 
Nimechunguza pia level yako ya uelewa alafu inaonesha ulipitolewa moshi kule kishumundu ukawekwa pale kahama kuuza simu ndio maana tunapata taabu sana kukuelewesha.
Kesho kahama ni Municipal council na Njombe collabo Mufindi bado ni Town council hamjafikiliwa yaani. TAMISEMI wakaiona Kibaha ni bora iwe Municipal concil kuliko Njombe collabo Mufindi?????? Nyie level yenu kata ya Kagongwa tu,

For your information Level yangu ya uelewa ipo sawa kabisa na wizara ya TAMISEMI tu.

KAHAMA SIO LEVEL ZA NJOMBE Featuring MUFINDI.
 
Tamisemi yawezekana kuna bias sana.
Wewe kwa akili zako zaidi ya dhahabu kitu gani kinaingizia pato la Taifa toka kahama?

Mimi nakutajia Mufindi
1. Mbao
2. Magogo
3. Pareto
4. Chai
5. Mchele
6. Mahindi
Kweli mtu ufia chake! Yani unaringanisha dhahabu na kitu unachoweza kukipata popote? nani akitaka magogo au mahindi anaweza kukosa? Dhahabu ni urithi asilia na hailimwi bali utafutwa! ndo maana unaona wazungu wakija kuifata... kwanini wasilime kwao kama mahindi na wao wakawa nayo?
 
Nchi gani hizo za East Africa zinapeleka watoto kusoma Kahama? Wasukuma mna mambo [emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe hata shule hujaenda,
Una Level gani ya Elimu? Seems like I am feeding the troll here.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo bank zote ukiondoa DTB zipo mafinga pia,
Kitu huelewi ni kuwa Mafinga ndiye producer wa Nguzo zote za umeme Tz na East Africa yote, unajua bei ya nguzo moja?
Ukiachilia mbali Viwanda na Kilimo,
Nimesema Mufindi ina shule za sekondari 43, Miongoni mwa hizi ni Kongwe ambazo wasomi wengi humu JF wamepita kama
Mafinga Seminary
Malangali sec
Kawawa Sec
JJ Mungai Sec
N.k
Kuna vyuo vya Afya na Ufundi, yaani kuna Clinical officers wanagraduate mafinga on annual basis waje wawatibu na madhara ya Heavy metals kama Mercury huko machimboni,
Mufindi imeendelea sana kuliko machimboni,
Hamuwezi hata kutuma picha mnabaki mnapayuka tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana wanaendelea kuuelezea na hakuna anaetuma picha hata mmoja,[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumeni picha tuone
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa mjadala umefungwa rasmi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…