Kahama VS Njombe/Mafinga

Njombe ni mkoa mpya
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tamisemi yawezekana kuna bias sana.
Wewe kwa akili zako zaidi ya dhahabu kitu gani kinaingizia pato la Taifa toka kahama?

Mimi nakutajia Mufindi
1. Mbao
2. Magogo
3. Pareto
4. Chai
5. Mchele
6. Mahindi
Kwa akili hizi ndo maana hadi leo hamna supermarket😆😆😆😆!!!
 

Kwani hao wenye mitaji wanaopiga hela ni kina nani? Kahama hawapo? 😂😂 yaani we na mwenzio mnanichekesha sana! Basi hapo unataka kuaminisha watu kuwa wote wanaofanya biashara ya madini kahama ni washika sululu tu! 😂
Hivi hujui kama kuna watu ni madon kazi yao kudhamini tu kazi ikikamilika anakula chake anatambaa anaenda tena kudhamini kwingine? Jitu unakuta lina duara kama zotee kazi yake kugawa noti tu shughuli inatembea kama kawa! Nikujuze tu hao wahindi unaojivunia (😂) mpaka waje waipate hio dhahabu kuna watabe wanakuwa wameshapiga cha juu mapemaaa!
Talking of acc, miaka kadhaa nyuma kabla hawajazuiliwa people used to kwenda bank na mifuko ya sandarusi au mabox ya pesa. Wanakwepa kuibiwa maana lasketi zilikuwa zishakaririwa sana. (Kama una jamaa yako huko anafanya kazi bank muulize atakwambia)
 

Ukiona mtu anaanza oooh mara level yako ya kufikiri oooh chapanda chashuka we temana nae tu, hapo ujue joto hasira limeshapanda!
Bandari kavu ilivyoondolewa wakaanza ooh kahama itashuka. Buzwagi walivyofungiwa wandwanzi wakakomaa tena, kahama kwisha habari yakeee!! Lakini ndo kwanza halmashauri zikagawanywa, alafu mzungu karudi anakutana na mataa barabarani yanamchekea!
 

Kuna bank hapo zina matawi zaidi ya moja humo humo kahama mjini kama sikosei moja wapo ni NMB walifungua business centre pia kule maeneo ya Azania.
Bank zimejiwahi hapo kwa sababu wameona kuna mshiko.
 
Ili kujua km za mwanza -shinyanga sio lazima uishi miaka yote hiyo.
 
Kwa jinsi unavyoelezea hiyo Nadharia ni Kama vile Kahama ni Paradise, yaani kwa maelezo yako tungetegemea kuona kahama inafanana na Moshi au Morogoro au Iringa, ila ni kati ya mji unaofanana na Jalala, mji mbovu na wa umasikini, pesa hizi mnapeleka wapi wenzetu maana kahama imezidiwa na Mufindi.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
We kweli mbayuwai mkuu,Kwa taarifa yako kama kigeo ni mapato tuu basi Lindi,Mpanda,Songea,Singida nk isingekuwa Manicipal councils.
Hata hivyo kwa kigezo cha mapato,Mafinga na Njombe zinajitosheleza kuliko hizo MCs nimezitaja hapo..Kama ishu ni mapato tuu basi Chalinze town/DC ingekuwa Manicipals maana ina mapato mengi kupita Kahama au Geita.Na kaa ukijua manispaa zitakazotangazwa ni pamaoja na Njombe na Babati maana ukiacha utoshelevu wa mapato zina vigezo vingine zaidi mfano makao makuu ya taasisi kadhaa za mkoa na miundombinu ya uchumi na kijamii bora kuliko upuuzi wa huko machimboni.
 
Mufindi ina shule za sekondari zaidi ya 40
Kahama ziko ngapi?
Huko watoto wa common mwananchi wanasemea wapi au kazi Kuchunga Ng'ombe pekee, hiyo shule moja hata haina hadhi wala reputation ya kufikia Shule kama Mafinga Seminary,
Labda hiyo ufananishe Na St.marys Mafinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pesa za dhahabu zinaenda wapi mbona mumetopea kwenye umaskini?
 
Vigezo vya kitaalam vitaangaliwa zaidi ya ishu ya mapato tuu,kama ni mapato tu ondoa uchafu wa Kibaha town maani inapigwa chini tena mbaaali na Mafinga,Njombe nk..Na kama ishu ni mapato tuu Geita iko mbali sana ya Kahama
Unatakiwa utambue majibu ya waziri ni ya kisiasa lakini kuna vigezo vingine zaidi vya kitaalamu vinaangaliwa ndio maana leo hii Mpanda,Lindi,Singida na miji mingi dizaini hiyo ni Municipal councils lakini ina mapato kiduchu.Note this wakati wa kupandisha hadhi miji Njombe,Babati,Bariadi,Mbozi(Vwawa+Mlowo),Tunduma,Mafinga,Kahama na Geita zitakuwa Mcs..Iko hivi pamoja na kwamba miji mingine ina mapato kiduchu lakini ni makao makuu ya Mikoa na taasisi zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…