Kahama VS Njombe/Mafinga

Mkuu umekuja kweli umekuja kuhutimisha... na Ahsante sana, Wengi wao walikuwa awaijui Kahama iko vipi, nadhani wamepata picha sasa!
Kahama ina nini mji hovyo tuu,Mbona Geita wenye kila kitu hawapigi makelele humu? Geita mji ndio unakusanya pesa kushindana na majiji na manispaa za Dar pekee lakini hakuna kelelel kama za huko uchafukoge Kahama?
 
Wangari Maathai kakueleza vizuri kabisa tofauti ya wengi waliopo kahama na huko kusini kwenu ila kwakuwa una jicho la chuki una overlook tu. Kahama mji wa matanuzi huko nidhamu ya pesa imepungua kidogo.
Hakuna alichokieleza cha maana na hajajibu swali labda umsaidie au ukariri alichoeleza kama kina mashiko..Pesa za madini zinaenda wapi ikiwa mji na watu wake ni hovyo kabisa na wanaogelea kwenye umaskini? case study Merelani
 

Eti unalinganisha KAHAMA na GEITA? Ahahahahhahahaha.
 
Jibu swali mkuu,usitafute visingizio njaa,pesa za dhahabu zinakwenda wapi? why are you extremely poor despite claiming having gold on your door?
Pesa za dhahabu zinakwenda bank! Kuna member alikujibu hivi... Kahama kuna, Dtb,Boa,Nbc,Crdb,Azania,Access, Usisahau kuhusu posta bank na Nmb zenye matawi mawili mawili, Still unauliza pesa zinakwenda wapi? au unauliza pesa zinakwenda wapi kwa maana ipi?
 
Tupo Pamoja ndugu sio kila Mji uliochangamka ni mzuri/mkubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katoe ujinga kichwani mkuu ,jifunze kutafuta maarifa..sema najaribu kuweka pdf ya hotuba ya Jafo inazingua ungeona ulivyo mjinga.Kahama sio wilaya ni just town council,Mufundi ni wilaya ambapo nadani yake kuna mafinga town sasa ukichukua mapato ya wilaya ya Mufindi collected na halmashauri tuu ni 8.7bln wakati kahama town ni 6.2 bln,sasa hayo unayoyaeleza wewe umetoa wapi?
Geita dc=4.7bln,Geita town=8.0bln,ukijumlisha hapo ni twice ya Kahama 6.2 bln sasa huo ujinga unautoa wapi mkuu?
 
Kahama kiangazi ina hela masika wapo dolo coz wanategemea wakulima waivishe ndio wauzie. Pia mgodi wa Buzwagi umewabust sana hawana jipya la kuizidi Njombe. Pia kibiashara hakuna mzunguko mkubwa wa hela.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo miji mingine haina benk? kwa nini mapato haya reflect uhalisia wa maisha na maendeleo ya mji? kwa hiyo nyie ni watumwa wa kufanyia kazi banks? bure kabisa nyie..Hapo ndio mjue wanaonufaika na hilo gulio la madini ni watu wengine kabisaa.Hoja ya uwingi wa mabenki itoe haina tija hapo maana hata bank ikiwa moja inaweza ku manage transactions,na ishu kama ni mabenki tuu mji wa Tunduma unayo mengi kupita ya hapo Kahama na je Tunduma iko well developed kuliko Mafina au Njombe? jibu ni hapana likewise na huko Kahama
 
Mmeshinda bhana... Mafinga ni Bora kuliko kahama, sote tu watanzania tujikinge na Corona.
 
Eti unalinganisha KAHAMA na GEITA? Ahahahahhahahaha.
Si mumetaja kigezo cha mapato nyie au? ndo nakupa wenye mapato mengi kuwazidi,mimi Geita sipajui but kama haijaendelea kuliko Kahama basi unatakiwa ujue kwamba kigezo cha mapato tuu hakitoshi ndio maana hata Njombe au Mafinga hazina mapato mengi kuliko kahama lakini zimeendelea kwenye nyanja zote kuliko Kahama
 
We jamaa nilikuwa nazani ni mtu kumbe ni mpumbavu tuu yaani unabisha na TAMISEMI
 
Sasa povu la nini TAMISEMI wamehitimisha huu mjadala siku nyiiiingiiiiiiiiiiiiiii. Tunapotezeana bundle kwenye impossibles tu. KAHAMA sio level yenu ya Njombe collabo Mufindi.
 
We jamaa nilikuwa nazani ni mtu kumbe ni mpumbavu tuu yaani unabisha na TAMISEMI
sio lazima unione mtu hata ukiniona ni mpumavu sawa tuu ila nimekueleza ukweli kama unabisha subiria maana nimekwambia nanai kakwambia mapato tu ndio kigezo pekee? mbona wenye mapato kiduchi ni manispaa lakini nyie wenye mapato mengi sio? Nakuongezea tuu jibu la kisiasa ni tofauti na hali itakavyokuwa
 
Sasa povu la nini TAMISEMI wamehitimisha huu mjadala siku nyiiiingiiiiiiiiiiiiiii. Tunapotezeana bundle kwenye impossibles tu. KAHAMA sio level yenu ya Njombe collabo Mufindi.
povu la nini jikite kwenye hoja kama huna bundle potezea tuu,maana naongei hiki unajibu kile hueleweki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…