Kahama VS Njombe/Mafinga

Uzi umefungwa hapa [emoji116][emoji116] hakuna haja ya kuendelea kubishana tena

Waziri wa TAMISEMI Mhe.Seleman Jafo amesema Serikali inatambua maeneo matatu hapa nchini ambayo serikali ipo katika mchakato wa kupandisha hadhi kuwa Manispaa kutokana na kukidhi vigezo vya kujitosheleza kimapato.

Mhe.Jafo ameyataja maeneo hayo kuwa ni pamoja na halmashauri ya Mji wa Kahama mkoani Shinyanga,Halmashauri ya Mji wa Kibaha Mkoani Pwani na Halmashauri ya mji wa Geita mkoani Geita na muda wowote kuanzia sasa maeneo hayo yatapandishwa hadhi kuwa Manispaa pindi mchakato utakapokamilika.
 
Hii hotuba kule mwishoni kuna majedwali ya mapato nk ipitieni kwa umakini hasa wilaya ya Mufindi yenye Mafinga TC na Mufindi DC then mlinganishe na Kahama
Pia angalia trend ya Mapato ya Njombe TC,hadi wa sita mwisho wa mwaka Njobe TC itafikisha 5bln
 

Attachments

Umehamisha mada umeanza kuilinganisha kahama na Geita
No kuna jamaa alikejeli Geita kuwa is nothin ko nilikuwa na mjibu kwamba hoja ya wingi wa mapato tuu haitoshi kuufanya mji uendelee.Nikasema ikiwa Kahama imeendelea kuliko Geita licha ya kwamba Geita ina mapato mengi basi akubali tu kwamba Mafinga TC na Njombe TC zimeendelea zaidi kuliko Kahama TC licha ya kwamba zina mapato chini ya kahama TC
 
Umesikia wapi kanda ya ziwa kuna mafuriko!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kinacholinganishwa hapa si ni miji! Sasa maneno mengi blah blah za nini?! Yaan kusema tu kahama town inaifunika mafinga town kimapato imekuwa ngumu ee?! Kwa huu unazi wako huwezi kujadili kiuhalisia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • 10.jpg
    170.2 KB · Views: 3
  • 1.jpg
    169.2 KB · Views: 3
  • getlstd-property-photo.jpg
    43.8 KB · Views: 3
  • DwSk-NvXcAA8x8i.jpg
    87.3 KB · Views: 3
  • 2.jpg
    121.3 KB · Views: 3
  • DSC01410.JPG
    156.4 KB · Views: 3
  • unnamed.jpg
    16.1 KB · Views: 3

Attachments

  • sky-light-lodge-24696-c39ca4acc3f8a0bae288e44c4bc48ee81aa7de60.jpg
    27.1 KB · Views: 3
  • platinum-hotel-23089-1bf79f38e933b5357cff0aef2d3a958abefeac6a.jpg
    40.4 KB · Views: 3
  • unnamed.jpg
    16.1 KB · Views: 3
  • ngoli-royal-park-23921-331767fe3e21c278eccf4bdee8147a7b305d1d33.jpg
    27.4 KB · Views: 3
  • images (5).jpg
    8.7 KB · Views: 3
  • DwSk-NvXcAA8x8i.jpg
    87.3 KB · Views: 3
  • MAFINGA.1.JPG
    156.4 KB · Views: 3

Attachments

  • information_items_1505362.jpg
    18.3 KB · Views: 3
  • download.jpg
    8.1 KB · Views: 3
  • download (1).jpg
    8.6 KB · Views: 3
  • IMG_0982.JPG
    28 KB · Views: 3
  • 2017-03-15.jpg
    12.4 KB · Views: 3
  • images (9).jpg
    9.2 KB · Views: 3
Unajitekenya na kucheka mwenyewe wacha nikurahisishie
View attachment 1424350
View attachment 1424366

Na Geita imepata nguvu baada ya collabo na Katoro. Ukitoa Katoro Geita hamna kitu kwa Kahama. Ukiitoa Katoro Geita anarudi kwenye 3 Billions
Usikute unaangalia makisio badala ya mapato halisi,sasa 3.2 b vs 2.9 b kwako unaona ni sawa na kelele unazopiga hapa?,afu angalia hotuba ya Jafo nimeiweka humu ina hesabu za hadi february,hizi zilikuwa za desemba.Hadi desemba Njombe tumevuka lengo tuko 3.9 bln wakati kahama iko 4.7bln ko bado tofauti sio kubwa kihiivyo na kwa mara ya kwanza mwaka huu yaani by June 30,Tunakwenda kuvuka 5bln
Porojo za kwenu Katoro hazihusika hapo hiyo ni miji ,je Katoro iko ndani ya mji wa Geita au Bukombe huko?
 
Uzi hauwezi kufungwa kizembe hivi,unafungwa kwa picha za Njombe kama ifuatavyo
 

Attachments

  • images (5).jpg
    6.9 KB · Views: 3
  • images (6).jpg
    9.3 KB · Views: 4
  • images (7).jpg
    10.7 KB · Views: 4
  • images (8).jpg
    9.5 KB · Views: 4
  • images.jpg
    8.7 KB · Views: 4
  • IMG_0959.JPG
    32.8 KB · Views: 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…