Griseofulvin
JF-Expert Member
- Sep 15, 2016
- 1,012
- 1,995
Uzi umefungwa hapa [emoji116][emoji116] hakuna haja ya kuendelea kubishana tenasio lazima unione mtu hata ukiniona ni mpumavu sawa tuu ila nimekueleza ukweli kama unabisha subiria maana nimekwambia nanai kakwambia mapato tu ndio kigezo pekee? mbona wenye mapato kiduchi ni manispaa lakini nyie wenye mapato mengi sio? Nakuongezea tuu jibu la kisiasa ni tofauti na hali itakavyokuwa
Waziri wa TAMISEMI Mhe.Seleman Jafo amesema Serikali inatambua maeneo matatu hapa nchini ambayo serikali ipo katika mchakato wa kupandisha hadhi kuwa Manispaa kutokana na kukidhi vigezo vya kujitosheleza kimapato.
Mhe.Jafo ameyataja maeneo hayo kuwa ni pamoja na halmashauri ya Mji wa Kahama mkoani Shinyanga,Halmashauri ya Mji wa Kibaha Mkoani Pwani na Halmashauri ya mji wa Geita mkoani Geita na muda wowote kuanzia sasa maeneo hayo yatapandishwa hadhi kuwa Manispaa pindi mchakato utakapokamilika.