Kahama VS Njombe/Mafinga

Wewe piga domo la mkosaji wee,mimi nakupa namba tuu,soma hiyo hapo chini kutoka TRA

Jamaa mtifuano mwema maana battle nyingi za moto zimepita kama ya dom vs moshi au mwanza vs arusha, ila yako naona bado hukubali iishe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hii ni part of fun nadhani ila all the best mnyalukolo
 
Sema kabisa dhahabu na wasukuma tu halafu ya kwao ya kusafirishia mchicha.....Ahahahahahaa Njombe weeeeeeeeee
Pesa ya dhahabu inaenda wapi mbona mnanuka umaskini sisi wenye michicha tunapeta tuu mjini hapa
 
Mzee wa iringa..
nakaa kimya tu kwa heshima ya iringa na pia nisingependa battle maana Tz yote ni home kwangu.
Kahama naenda bila kulipa visa same na huko kusini mwa nchi..
Tulia hivyo hvyo maana unakana kwenu,hiyo Iringa yako imebakia kutembelea nyota ya mafinga tuu saizi hakuna jipya hapo saizi
 
Jamaa mtifuano mwema maana battle nyingi za moto zimepita kama ya dom vs moshi au mwanza vs arusha, ila yako naona bado hukubali iishe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hii ni part of fun nadhani ila all the best mnyalukolo
Battle inaishaje sasa wakati ndugu zako wasukuma matorori na sululu waliokuposa wanaleta hadithi badala ya facts tunazowapa?
 
[emoji3][emoji3]naona unarukaruka tu kama bisi kikaangoni, weka mapato ya kahama mji na ya mafinga mji hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nirudie mara ngapi? nimeweka table za Halmashauri na TRA humu bado tu huelewi,sina cha kukusaidia mzee we tokota tuu kama uji wa mtama wa huko migodini
 
acha porojo ,wapi pesa ya dhahabu inaenda?
Zinakuja kuchukua dada zenu huko mabeki 3 wanaotufulia nguo za kutudekia mageto yetu, zingine tunawatumia bibi zenu pindi hawa mabeki 3 zetu wanapotuelezea maisha duni ya huko kwenu, siku hizi hadi tunawasomesha hawa dada zenu wakionyesha tabia njema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…