ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #1,341
Wewe sasa unaleta utoto..Huko kanda ya ziwa hakuna miji ya kati ya kulinganisha na Mafinga,Njombe,Makambako,Tunduma,Vwawa/Mlowo,Chunya nk..Hiyo kanda yote inategemea Mwanza tuu,,hata hiyo mwanza yenyewe zaidi ya kujazwa na maskini haina chochote cha maana cha kuzidi jiji la mbeya,kama kipo kitajeNjombe na Mafinga chalii kwa kahama, 🤣🤣yaani mji mmoja kahama umeigaragaza miji miwili njombe na mafinga. Ongezeni na Makambako mjaribu kusogeasogea kidogo.
Kusini pamesahaulika mno.
Ukija kwenye Miji ya manispaa,uchafu wa shinyanga,musoma,bukoba hauwezi hata kusogeza pua kwa Iringa,Songea au Sumbawanga..Watu wa huko mtasalia maskini na choka mbaya maisha yenu yote ndio maana mnaishi kwenye tembe
Barabara tu za lami mumepata kipindi cha mkapa mlikuwa wa shamba wa kupitiliza,hamna cha kujipiga kifua nyie manamba wa migodini,taja hapa kilichosahaulika basi badala ya blaa blaa na kujichekesha toka toka mwanzo bila facts