ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #1,361
Kama kuna milima umewahi ona kati ya hiyo milima yenu kuna hata mmja uko kwenye orodha ya milima ya maana hata kufundishiwa jiografia ya darasa la tatu?Mwanza hatuna Mlima tuna milima, Wambeyaaa mpooo?
Acheni upoyoyo nyie washamba wa kisukuma,hivyo ni vichuguu na vichaka ,milima iko Nyanda za juu kusini na kaskazini ya Nchi,tembeeni acheni ushamba pori