Kahama VS Njombe/Mafinga

Mwanza hatuna Mlima tuna milima, Wambeyaaa mpooo?
Kama kuna milima umewahi ona kati ya hiyo milima yenu kuna hata mmja uko kwenye orodha ya milima ya maana hata kufundishiwa jiografia ya darasa la tatu?
Acheni upoyoyo nyie washamba wa kisukuma,hivyo ni vichuguu na vichaka ,milima iko Nyanda za juu kusini na kaskazini ya Nchi,tembeeni acheni ushamba pori
 
Unakoelekea utaanza kusema jijini mwanza kuna mawe mengi au ziwa ,mbeya lipo? acha upuuzi hatuzungumzii nature hapa ila man made structures
Huu hapa mlima Loleza na Mlima mbeya,watalii wanapanda vizuri tuu,Mwanza upo?
Sheria ya kwanza no blah! bla! Umesahau, au labda hujui maana ya national park! Sio kila mlima au kila sehemu yenye wanyama ni hifadhi ya taifa, hapa nazungumzia hifadhi za taifa chini ya TANAPA, Tena hifadhi ya taifa ndani ya jiji, na kwa taarifa yako hiyo national park ya Mwanza ni man made, jibu swali jiji la mbeya lina national park?

Kama kawaida yako unaona Soo kujibu haipo, na kwa kuwa umeleta mamilima badala ya national park, ni dhahiri jijini mbeya hakuna national park. Hadi sasa 2-0.
Saini matokeo tuendelee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We hamnazo,kwamba hifadhi ya Taifa ya kisiwa cha Saa nane ni man made? Tunazungumzia vitu man made sio nature,haya haipo onyesha mlima mkubwa uliopo Mwanza kama kama ulioko kando ya jiji la mbeya? Na ujue tu kwamba mlima mbeya ni sehemu ya hifadhi ya safu za miliya ya uporoto chini Mamlaka ya wanyama pori na TFS
 
Tatizo lako huna exposure.

Hili jiji la mwanza ndo unalinganisha na kijiji kikubwa cha mbeya?.


Wew unataka battle.
Nitakuletea picha za manispaa za Kanda ya ziwa.Musoma, bukoba,shinyanga,Geita,Hadi kahama. Ila walau utembee kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwan kuna visiwa vingapi lake Victoria na sio national park! Kisiwa kipo enzi na enzi ila kufanya pawe national park ni man made, hata wale wanyama pale wamepelekwa na binadamu.
Hapo tumemaliza matokeo bado ni 2-0 haya twende kazi

Jiji la Mwanza linatumia uwanja wake kutua jijini, dreamliner inatua moja kwa moja jijini Mwanza, huko jijini mbeya vipi?
Kwa kukusaidia tu kuepusha blah blah Songwe sio Jijini mbeya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole kwa poor thinking,hujaniwekea picha milima yenye hadhi ya utalii iliyo kando ya jiji kama nilivyoweka mimi,hapo ni mbeya city 4=0 ya Mwanza
Pili Usagara na Buhongwa pameungana au bado? kama pameungana basi unatakiwa kujua kwamba Songwe airport iko kwa ajili ya ku save mbeya city na usifikiri kuitwa Songwe basi ukadhani iko mkoa wa Songwe,uwanja uko mkoa wa Mbeya na mpaka ni mto baada ya kuvuka Songwe viwandani.Kwa hiyo hoja yako ya dreamliner kutua huko ghost city haina mashiko,leta fix nyingine
 
Blaa blaa za picha hazitoshi kuonesha kwamba mumeendelea,taja vitu tangible ambavyo unadhani viko mwanza havipo mbeya ili ku justify hoja yako ya mwanza ghost city kuendelea kuliko mbeya green city.Sio tu kutembea nimesoma huko mwanza na naijua vizuri sana japo sijafika kwa 3 years iliyopita.
Wenzako wameshindwa kuleta picha za gulio kuuubwa la kahama

Mbeya green city
 

Attachments

  • images.jpg
    9.1 KB · Views: 4
  • images (45).jpg
    8.1 KB · Views: 4
  • images (11).jpg
    8.1 KB · Views: 4
  • DSCN0270_thumb[4].jpg
    29.7 KB · Views: 4
  • download (1).jpg
    9.5 KB · Views: 4
  • 1681555_IMG_20180128_130045.jpg
    135 KB · Views: 4
  • 1945796_IMG_20181130_234212.jpeg
    65.1 KB · Views: 4
Bado Niko na wew unayesema miji ya Kanda ya ziwa ni ya hovyo.

Huu ni mji wa musoma.


Leta vimji vyako sasaView attachment 1426525

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • images (5).jpg
    7.6 KB · Views: 4
  • images (8).jpg
    8.3 KB · Views: 3
  • maxresdefault.jpg
    109.7 KB · Views: 3
  • images (1).jpg
    9.1 KB · Views: 3
Sasa hiyo mbeya si kama musoma kabisa.

Hebu jionee aibu please.

Hii ni mwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • images (17).jpg
    8.3 KB · Views: 3
  • images (7).jpg
    7.7 KB · Views: 3
  • 2013176113194082161415710112185_13.png
    29.8 KB · Views: 3
  • images (8).jpg
    9 KB · Views: 3
  • download (3).jpg
    9 KB · Views: 3
[emoji1787][emoji1787]ona sasa unavyopuyanga na akili zako za kindezi, usagara haiko jijini Mwanza na Songwe haiko jijini mbeya kwa hiyo hoja yako ni mufilisi, hapo mbeya jiji hakuna milima ambayo watalii wanakujaga kupanda danganya mandezi wenzio wa huko makete.
Ndani ya jiji la Mwanza Kuna bismack Rocky watalii hutoka Berlin huko kuja kutalii, jijini mbeya Kuna ziwa kweli? Nimeuliza hilo swali sababu ya undezi wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • images (8).jpg
    8.3 KB · Views: 3
  • 26713987002_0c0fff0394_b.jpg
    53.1 KB · Views: 4
  • images (71).jpg
    9.5 KB · Views: 4
  • images (3).jpg
    9.1 KB · Views: 4
Kama ulielewa nilivyotaja hayo maeneo usingekuja kuandika uharo wako hapo,kasome upya
Kama kawaida blaa blaa πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† ,unakujaga kupanda wewe kama watalii hawaji? Onyesha mlima outskirt ya mwanza wenye mandharii nzuri kamamlima mbeya na Loleza sio kulia lia hapa kama hakuna funga bakuli,nahesabu knock out
 
Bado tuko Njombe Town jamani,nchi ya ahadi,wapi picha za gulio la Kahama? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Attachments

  • 1166481_agreement.jpg
    17.5 KB · Views: 3
  • 137466675.jpg
    90.4 KB · Views: 3
  • C42MaTSVcAAicY9.jpg
    95 KB · Views: 3
  • images.jpg
    6.4 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…