Kahama VS Njombe/Mafinga

Eti miji ya kijanja duu kweli wewe kichwa ngumu..Hata mbeya ipo proposed pedestrian bridge,render hii hapa chini..hii haina uhusiano na miji ya kijanja,toka lini wasukuma wakaacha ushamba na kuwa wajanja?
 

Attachments

  • 8349469718_dfa48125a4.jpg
    20.1 KB · Views: 3
Njombe Town
 

Attachments

  • 6 (15).jpg
    60.6 KB · Views: 3
  • DJI_0012.JPG
    184 KB · Views: 3
  • A-2.JPG
    151.7 KB · Views: 3
  • 1674046_Screen-Shot-2014-07-18-at-11.52.44.png
    75.7 KB · Views: 3
  • 6.png
    118.4 KB · Views: 3
  • iringa+pic.jpg
    29.1 KB · Views: 3
  • wp7ee2664b_05_06.jpg
    46.8 KB · Views: 3
  • unnamed.png
    75.3 KB · Views: 3
  • unnamed.jpg
    6.7 KB · Views: 3
  • EBcpp_dWkAAA22W.jpg
    42.7 KB · Views: 3
  • IMG-20190511-WA0023.jpg
    18.5 KB · Views: 3
  • P1130699.JPG
    23.5 KB · Views: 3
  • unilever-tea-tanzania.jpg
    38.9 KB · Views: 3
  • PIC-1-4-1024x683.jpg
    47.9 KB · Views: 3
Kama milima Mwanza ndo kwao tembea uyaone, Hiyo mnayoiita CBD huko kwenu kwa Mwanza ni sawa na sehemu za pembezoni mwa CBD na panazidiwa na maeneo Kama ghana na isamiloView attachment 1427947

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti miji ya kijanja duu kweli wewe kichwa ngumu..Hata mbeya ipo proposed pedestrian bridge,render hii hapa chini..hii haina uhusiano na miji ya kijanja,toka lini wasukuma wakaacha ushamba na kuwa wajanja?
Kwa kuwa vitu vya kijanja havipo umeamua kupost michoro [emoji23][emoji23][emoji23] sema tu 'havipo' usione aibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo SAUT ni branch yetu [emoji38][emoji38], kama tumewajengea huko porini kabranch kama hako jiulize huku town main Campus tumejijengeaje?!
Hako kamwanjelwa kanafunikwa mbaya na Buzuruga tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu tazama mwanza ilivyotapakaa.

Hii ni CBD peke yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo anakupotezea muda tu .Huwezi kulinganisha mwanza na mbeya.huo ndo ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unanichafulia uzi wangu wa Kahama vs Njombe/Mafinga na mapicha picha yako ya Mwanza..Ukitaka ligi ya hayo mapicha kalinganishe na Arusha au Dodoma uone kama hujatolewa KO
 

Attachments

  • MMG_0357.JPG
    169.9 KB · Views: 3
  • download.jpg
    8.5 KB · Views: 3
  • DfvNupiWkAEYNwj.jpg
    131.6 KB · Views: 3
  • download (1).jpg
    9.5 KB · Views: 3
  • images (20).jpg
    8.5 KB · Views: 3
  • images (22).jpg
    9.2 KB · Views: 4
  • download (1).jpg
    9.5 KB · Views: 4
  • 5675866708_511fc1d47f_b.jpg
    59.6 KB · Views: 4
  • IMG_3705.JPG
    43.8 KB · Views: 3
  • DSCF4425.JPG
    134.9 KB · Views: 3
  • DSCN3737.JPG
    29 KB · Views: 4
  • images (20).jpg
    8.5 KB · Views: 3
  • images (75).jpg
    9 KB · Views: 3
  • images (71).jpg
    6.7 KB · Views: 2
  • MMG_0626.JPG
    172.6 KB · Views: 2
  • 5675304909_5a3eb53d47_b.jpg
    102.1 KB · Views: 2
  • PIC_2272.JPG
    154.4 KB · Views: 2
  • images (64).jpg
    8.1 KB · Views: 2
  • GREEN CITY.jpg
    133.2 KB · Views: 2
We kenge hivyo ni vichuguu sio milima,shule ulienda kukua na kuhudhuria?
 
Umehama hoja,hapa ilikuwa kutaja vitu ambavyo havipo Mbeya ila mwanza vipo sio kushindanisha maghorofa..Ukitaka ligi ya magorofa kashindane na Arusha na Dodoma hapa sio mahali pake
Sasa kitu gan mbeya inacho kuzidi mwanza?

Stendi? mwanza zipo mbili
Viwanja vya michezo ? Mwanza kuna CCM kirumba wa pili Kwa ukubwa nchini,na nyamagana nyasi bandia.
Bandari ? Mwanza ziko mbili kusini na kasikan na moja ndo kuna Chelezo ya ujenzi wa Melo.

Ukubwa? Mwanza inamanispaa mbili ilemela na nyamagana.

Watu? Mwanza 1m +

Miundombinu? Barabara za mwanza zipo standard mpaka njia mbili mbili.

Airport kuna kubwa Sana.

Uchumi Huwezi linganisha mwanza na mbeya.

Majengo magorofa Huwezi kulinganisha mwanza na mbeya.

Hotel ndo kabisa husiseme.


Mandhari Hali ya hewa NK .mwanza sio joto wala baridi,beaches NK.hadi national park.

Vyuo huko ndo husiseme

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unazingua sana kwa hivyo vipimo na vigezo vyako
Stendi Mbeya ziko 2,Stand kuu na nane nane na zinajengwa zingine 2,utaona hapo chini

Kuna uwanja wa Sokoine na vingine vidogo vidogo visivyo na idadi vina uwezo wa kutumiwa na ligi daraja la kwanza mfano uwanja wa MUST

Hapo kwenye barabara unazingua sana,Barabara Mbeya ziko za kutosha na zingine km 29 zinaanza kujengwa mwaka huu,kuwa dual caariage way sio kwamba ndo unazidi sehemu fulani,hata Sumbawanga na Singida kuna barabara 2

Airport ya Songwe unaijua haihitaji maelezo mengi

Kwa Vyuo vikuu na vinginevyo Mbeya ni Centre ya elimu na ni vingi kuliko Mwanza

Mandhari ndio hatuulizi,this is green City hadi ulaya wanatamani tubadilishane

Uchumi mnaongoza kwa quantity na sio quality hata wewe unajua

Mambo ya population,magorofa na mahotel sawa
 

Attachments

We mbwa, uwanja wa kirumba ni wa kimataifa, mechi za CAF huchezwa pale, sio Kama hilo jaluba la sokoine.

https://www.google.com/url?sa=t&sou...WMAN6BAgCEAE&usg=AOvVaw3OylKwuJYiPfvBMarAHVhl

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…