Sasa kitu gan mbeya inacho kuzidi mwanza?
Stendi? mwanza zipo mbili
Viwanja vya michezo ? Mwanza kuna CCM kirumba wa pili Kwa ukubwa nchini,na nyamagana nyasi bandia.
Bandari ? Mwanza ziko mbili kusini na kasikan na moja ndo kuna Chelezo ya ujenzi wa Melo.
Ukubwa? Mwanza inamanispaa mbili ilemela na nyamagana.
Watu? Mwanza 1m +
Miundombinu? Barabara za mwanza zipo standard mpaka njia mbili mbili.
Airport kuna kubwa Sana.
Uchumi Huwezi linganisha mwanza na mbeya.
Majengo magorofa Huwezi kulinganisha mwanza na mbeya.
Hotel ndo kabisa husiseme.
Mandhari Hali ya hewa NK .mwanza sio joto wala baridi,beaches NK.hadi national park.
Vyuo huko ndo husiseme
Sent using
Jamii Forums mobile app