Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Mm nko mbeya muda huu.... Bado mbeya pakawaidaaa... Kukutana na nyumba ya tope ni kawaida sana
Sema hawa wenzetu kwa kutengeneza maneno ya kujisifia hawajamboo.... Mbeya hata huwezi linganisha na dodoma... Nimetembea miji mikubwa hapa tz.... Mwanza ndio kwetu... Nasoma mbeya... Likizo daresalaam na mtwala... Advance bukoba na kigoma nimesoma.. Bado kanda ya kaskazini arusha, tanga na kilimanjaro ndio sipajui.... Sasa mbeya kweli
Mwanza kuna kitu inaitwa kayabo hii husafirishwa kwenda DRC, Mwanza kuna Dagaa wanaolika Tanzania nzima ambao Tanga huitwa dagaa kauzu, Mwanza kuna biashara nyingi halali kuliko unavofikiria
Mwanza kuna kitu inaitwa kayabo hii husafirishwa kwenda DRC, Mwanza kuna Dagaa wanaolika Tanzania nzima ambao Tanga huitwa dagaa kauzu, Mwanza kuna biashara nyingi halali kuliko unavofikiria
😂😂😂😂 Tembea uone..kwamba baada ya Dar na Mwanza inakuja Mby😂😂😅🙌🙌
Karibuni kwenye mada
Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga
Je ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwinzie in terms of maendeleo na ukuaji?
Of course yes.... Daresalaam inazidi mwanza bandari ya bahari kuu.... Huo ndio mlango wa nchi yetu kwa mataifa ya ughaibuni.... Lakini bado wanazidiwa na mombasaa kenyaaa.... Ila hiyo bandari ingekuwa mwanza sijui nchi yetu ingekuwa wapi wandugu.... Tungekuwa mbali mno basi tu.. Ziwa victoria inajisifia jiji la mwanza tu.... Wazungu nje huwa wanafahamu tz ni dar na zanzibar.. Au serengeti arusha na moshi kilimanjaro...... Ila wakifika mwanza wanasema kumbe huku kuzuri hiviMoja kati ya miji the best in east africa ni Mwanza.
Of course yes.... Daresalaam inazidi mwanza bandari ya bahari kuu.... Huo ndio mlango wa nchi yetu kwa mataifa ya ughaibuni.... Lakini bado wanazidiwa na mombasaa kenyaaa.... Ila hiyo bandari ingekuwa mwanza sijui nchi yetu ingekuwa wapi wandugu.... Tungekuwa mbali mno basi tu.. Ziwa victoria inajisifia jiji la mwanza tu.... Wazungu nje huwa wanafahamu tz ni dar na zanzibar.. Au serengeti arusha na moshi kilimanjaro...... Ila wakifika mwanza wanasema kumbe huku kuzuri hivi
Si muweke picha basi tuone
Kahama Kahama Njombe Njombe
Wekeni picha za mashamba migodi bank bus stops mimi na vitongoji tuweze kuchangia
Aliyeleta mada mbona hakusema twende kwa GoogleOmba msaada kwa mr google
Kumbe shy ni kubwa kuliko Khm labda kwa eneo mbona idadi ya wakaazi wa mji Khm iko mbele ya shy town?Kibiashara kahama imechangamka ukilinganisha na shy. Ukija kwa ukubwa wa mji shy ni kubwa sana kwa kahama japo yote ni shinyanga.
Huku sie ni wazalishaji unataka vipi bei iwe sawa? Umeuliza gunia la dagaa ya mwanza bei gani mwanza na Mbeya kwa hoja hiyo?Mahindi gunia Moja Mbeya inauzwa shilingi 55000 ukumbuke mwanza gunia moja ya mahindi ni 78000 hadi 80000, na ukitaka sehemu kufahamu haina mzunguko wa pesa ni bei za Vyakula lakini pia Mbeya ni maduka machache huuza unga wa dona na sembe lakini Mwanza hadi vibanda vya mtaani wanauza unga wa dona na sembe
Kumbe shy ni kubwa kuliko Khm labda kwa eneo mbona idadi ya wakaazi wa mji Khm iko mbele ya shy town?
Zama zimebadilika mkuu Njombe ya juzi sio ya leo mkuuNjombe Saa mbili ishakua usiku watu wote ndani lakini kahama the whole night pana happen, clubs za ukweli sijui hata nieleze nini lakini miji hii yote naifahamu
Duu sio wilaya zote mkuu,Tunduma unakufahamu?Hapana, ka kahama kadogo kwa shy. Sema kibiashara khm imechangamka sana.
Binafsi, nnavyoona khm ni moja kati ya wilaya iliyochangamka na watu wake wana pesa kuliko wilaya zote tanzania.