Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Mm nko mbeya muda huu.... Bado mbeya pakawaidaaa... Kukutana na nyumba ya tope ni kawaida sana

Sema hawa wenzetu kwa kutengeneza maneno ya kujisifia hawajamboo.... Mbeya hata huwezi linganisha na dodoma... Nimetembea miji mikubwa hapa tz.... Mwanza ndio kwetu... Nasoma mbeya... Likizo daresalaam na mtwala... Advance bukoba na kigoma nimesoma.. Bado kanda ya kaskazini arusha, tanga na kilimanjaro ndio sipajui.... Sasa mbeya kweli

Aisee, kumbe! Asante chief
 
Mbeya only kumetawaliwa na biashara ya Magendo tu lakini biashara tangible na halali kiukweli hazipo hata uwaulize kuanzia akina kasisi, tughimbe, Vamponji na the like hadi leo hii wanafanya magendo, to be honest Mwanza ni zaidi ya Mbeya
 
Mwanza kuna kitu inaitwa kayabo hii husafirishwa kwenda DRC, Mwanza kuna Dagaa wanaolika Tanzania nzima ambao Tanga huitwa dagaa kauzu, Mwanza kuna biashara nyingi halali kuliko unavofikiria

Moja kati ya miji the best in east africa ni Mwanza.
 
Fursa ya mifugo kama mbuzi na ng’ombe unafahamu kama case ya viwanda Mwanza wana viwanda vingi mno utashangaa hadi kishiri huko pana viwanda na wana export hadi nyama kwenda Dubai na mzunguko wa fedha Mwanza mkubwa Kuliko Mbeya
 
Afu ww kama siyo mjita wa mwanzaa basi ni mkerewe akina pius msekwaaa.... Maaana kayabo ndio zao na wajaluo
Mwanza kuna kitu inaitwa kayabo hii husafirishwa kwenda DRC, Mwanza kuna Dagaa wanaolika Tanzania nzima ambao Tanga huitwa dagaa kauzu, Mwanza kuna biashara nyingi halali kuliko unavofikiria
 
Si muweke picha basi tuone
Kahama Kahama Njombe Njombe
Wekeni picha za mashamba migodi bank bus stops mimi na vitongoji tuweze kuchangia
 
Moja kati ya miji the best in east africa ni Mwanza.
Of course yes.... Daresalaam inazidi mwanza bandari ya bahari kuu.... Huo ndio mlango wa nchi yetu kwa mataifa ya ughaibuni.... Lakini bado wanazidiwa na mombasaa kenyaaa.... Ila hiyo bandari ingekuwa mwanza sijui nchi yetu ingekuwa wapi wandugu.... Tungekuwa mbali mno basi tu.. Ziwa victoria inajisifia jiji la mwanza tu.... Wazungu nje huwa wanafahamu tz ni dar na zanzibar.. Au serengeti arusha na moshi kilimanjaro...... Ila wakifika mwanza wanasema kumbe huku kuzuri hivi
 
Mwanza kuzuri sana, na ndio maana wageni wakifika mwanza wanatokea kupapenda zaidi ya mikoa mingine. Kuna visiwa/national pack ndani yake.
 
--kahama kuna pamba pia,si mmesikia mabank yameambiwa kumwaga mabilioni,kwahiyo kuanzia kesho mtaani fedha zitakuwa kedekede,kila biashara itasisimka,gesti zitauza,bar zitauza,dhahabu itauzika,mama ntilie watauza,etc
 
Mahindi gunia Moja Mbeya inauzwa shilingi 55000 ukumbuke mwanza gunia moja ya mahindi ni 78000 hadi 80000, na ukitaka sehemu kufahamu haina mzunguko wa pesa ni bei za Vyakula lakini pia Mbeya ni maduka machache huuza unga wa dona na sembe lakini Mwanza hadi vibanda vya mtaani wanauza unga wa dona na sembe
 
Huku sie ni wazalishaji unataka vipi bei iwe sawa? Umeuliza gunia la dagaa ya mwanza bei gani mwanza na Mbeya kwa hoja hiyo?
 
Njombe Saa mbili ishakua usiku watu wote ndani lakini kahama the whole night pana happen, clubs za ukweli sijui hata nieleze nini lakini miji hii yote naifahamu
Zama zimebadilika mkuu Njombe ya juzi sio ya leo mkuu
 
Back
Top Bottom