Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Mm nko mbeya muda huu.... Bado mbeya pakawaidaaa... Kukutana na nyumba ya tope ni kawaida sana
Sema hawa wenzetu kwa kutengeneza maneno ya kujisifia hawajamboo.... Mbeya hata huwezi linganisha na dodoma... Nimetembea miji mikubwa hapa tz.... Mwanza ndio kwetu... Nasoma mbeya... Likizo daresalaam na mtwala... Advance bukoba na kigoma nimesoma.. Bado kanda ya kaskazini arusha, tanga na kilimanjaro ndio sipajui.... Sasa mbeya kweli
Aisee, kumbe! Asante chief