Watu wanaangalia fursa tayar kampun ya DL imechukua ekari zaidi ya 1000 kata ya mahongole makambako kwaajili ya ujenzi wa bandari kavu ,viwanda vya chuma,parachichi na nguoπ₯ VIDEO NI MUWEKEZAJI DP WORLD ALIPOZURU MKOANI NJOMBE
Mwenyekiti na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya DP World ya Dubai Sultan Ahmed bin Sulayem alipofika Njombe kwa lengo la kujionea fursa za Uwekezaji.
Mwekezaji alipofika Mkoa Njombe alipokelewa na RC Mtaka pamoja na DC Kissa Gwakisa wakiambatana Mkurugenzi wa CRDB Ndugu AbdulMajid Nsekela pamoja na Mkurugenzi wa Makampuni ya DL kutoka Nchini Kenya Bw. David Langati na Viongozi mbalimbali walikuwepo
#NjombenaFursa
#Utaliikusini