ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #17,741
ποΈποΈKuilinganisha mwanza na mbeya ni kuikosea adabu Mwanza. Mbeya ni kijijini kwa Mwanza. Mwanza ni jiji linalofuata kwa ubora baada ya Dar
Porojo za kuwakamata nyie nyumbu.Raisi Samia katoa maagizo wizara ya ujenzi barabara za Nyerere road ijengwe njia nne Hadi nyanguge na barabara ya kenyata ijengwe njia nne had daraja la kigongo ChoiceVariable upoo
Hamna porojo hapo hzo barabara lazima zijengwe mkuuPorojo za kuwakamata nyie nyumbu.
Hizo Barabara zilipangwa kuwekwa kwenye Bajeti 2024/2025
Zitajengwa kwa mujibu wa Mpango wa Bajeti kuanzia mwakani.Nilikuwa na hizo taasisi kabla ya porojo za kina Makonda.Na hiyo mwakani ni itakuwa 2025 maana Hadi watangaze tender na wamalize evaluation ni baada ya miezi 6.Hamna porojo hapo hzo barabara lazima zijengwe mkuu
hzo barabara bajeti ya 2024/2025 lazima ziwepo process zote kuanzia tender na manunuzi zitaanza kujengwa early 2025 hv ChoiceVariable mbeya si mtakuwa na njia nne 1 sisi tutakuwa na njia 4 kama nne ya kwanza ni town airport,ya pili kenyata road had usagara ya tatu Nyerere road had nyanguge ya nne usagara Hadi kigongoZitajengwa kwa mujibu wa Mpango wa Bajeti kuanzia mwakani.Nilikuwa na hizo taasisi kabla ya porojo za kina Makonda.Na hiyo mwakani ni itakuwa 2025 maana Hadi watangaze tender na wamalize evaluation ni baada ya miezi 6.
Rejea mazungumzo yangu na Kitombile humu jf
Ndio maana nimekwambia ni za Kugombea kura 2025 na 2030 na zitaanza mwaka huo huo pengine mwezi wa 4.hzo barabara bajeti ya 2024/2025 lazima ziwepo process zote kuanzia tender na manunuzi zitaanza kujengwa early 2025 hv ChoiceVariable mbeya si mtakuwa na njia nne 1 sisi tutakuwa na njia 4 kama nne ya kwanza ni town airport,ya pili kenyata road had usagara ya tatu Nyerere road had nyanguge ya nne usagara Hadi kigongo
Vp barabara ya njia nne mbeya imeshaanza kujengwa au bado wapo mobilization stageNdio maana nimekwambia ni za Kugombea kura 2025 na 2030 na zitaanza mwaka huo huo pengine mwezi wa 4.
Kama Kimara-Kibaha haijakamilika unadhani hizo zitakamilika mapema? Jidanganye.
Naunga mkono hoja.Ndio maana nimekwambia ni za Kugombea kura 2025 na 2030 na zitaanza mwaka huo huo pengine mwezi wa 4.
Kama Kimara-Kibaha haijakamilika unadhani hizo zitakamilika mapema? Jidanganye.