Kahama VS Njombe/Mafinga

Kwahiyo wakuu, mji wenye fursa kwa vijana wanaoanza maisha wenye biashara ndogondogo kama (kuuza nguo,bodaboda,kuuza chips,kutembeza matunda etc) ......kati ya Njombe na Kahama ni upi?
 
Kwahiyo wakuu, mji wenye fursa kwa vijana wanaoanza maisha wenye biashara ndogondogo kama (kuuza nguo,bodaboda,kuuza chips,kutembeza matunda etc) ......kati ya Njombe na Kahama ni upi?
Kwa hizo biashara population matters
 
Unapoongelea uchumi na mzunguko wa fedha basi huwezi acha kuzungumzia bank. Kahama ipo level moja na Makao makuu ya mikoa mingi na hata kuzidi baadhi ya makao makuu ya Mikoa. #UlipoTupo
 
Watasema nn.. wakati wanavyovisema humu ni huwa ni hadithi tupu...

Wa
Tu wanajenga na own sources, makusanyo yao nyanafanya 50% ya makusanyo ya mkoa mzima.. unakuja unasema tunalima miti na chai!?
Wilaya ya Kahama ina Halmashauri Tatu (Ushetu DC, Msalala DC na KMC) chini ya Mkuu wa wilaya Anamlingi Macha) Inakadiriwa wilaya ya Kahama ina Idadi ya watu 1.2 million huku Kahama Municipal Council ikiwa na idadi ya watu 320,000. Ni rahisi na mapema sana hiyo KMC kuwa Jiji kabla ya Njombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…