Mapank
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 4,130
- 6,097
Bukoba inaizidi nini Njombe labda? Nimeishi Bukoba naijua vizuri.Please tengua kauli bukoba municipal huwezi linganisha na miji ya kusini huko.
Bukoba itabaki kuwa bukoba na identity yake kama mji muhimu na wa kihistoria kanda ya ziwa na Tz kwa ujumla.
Bk tzView attachment 1658835
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app