The Great Haya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 1,773
- 1,660
Bora hata Iringa hapo mjini kwa sababu ya majengo marefu japo hamna ghorofa nyingi kulinganisha na bk, ila huko kijijini sumbawanga hata sipawazi
Mlikuwa mnakimbilia kwenye stendi, sasa hivi zinajengwa mbili kwa Mkupuo mnaanza kuhangaika hamna pa kukimbilia 🤣🤣Hawa kawii kukimbilia kwenye Chaka lao la tetemeko la ardhi na uwanja wa ndege kama sehemu zingine hawajengi
Jibu hoja kijana acha maneno ya ki umbea wew ni mwanaumeUjuaji mwingi
Kaendelee kuvua dagaa maana mada ipo juu ya uwezo wakoJibu hoja kijana acha maneno ya ki umbea wew ni mwanaume
Sasa sijui watasema Nini kuhusu Bukoba...maana stendi ndo hiyo na zinajengwa mbili...Mlikuwa mnakimbilia kwenye stendi, sasa hivi zinajengwa mbili kwa Mkupuo mnaanza kuhangaika hamna pa kukimbilia 🤣🤣
[emoji23][emoji23] Kichaka chao kimefyekwaSasa sijui watasema Nini kuhusu Bukoba...maana stendi ndo hiyo na zinajengwa mbili...
Huku Barbara ya njia nne...
Na national housing hao wanakuja na Bukoba commercial complex bila kusahau Bakwata commercial complex
Hivi nyie maskini wa Kagera Kwa nini hamjui ku post picha?Sasa sijui watasema Nini kuhusu Bukoba...maana stendi ndo hiyo na zinajengwa mbili...
Huku Barbara ya njia nne...
Na national housing hao wanakuja na Bukoba commercial complex bila kusahau Bakwata commercial complex
Huko kwenye stand na masoko tulishatoka ,tuko kwenye barabara na magorofa.[emoji23][emoji23] Kichaka chao kimefyekwa
Huko tulishahama naona maskini wa Kagera mnakimbizana ku catch upMlikuwa mnakimbilia kwenye stendi, sasa hivi zinajengwa mbili kwa Mkupuo mnaanza kuhangaika hamna pa kukimbilia 🤣🤣
We
We jamaa wa kusini una matatizo, kwa hiyo hako kajengo kwako ni fahari?? Leta view ya kijiji kizima cha wakulima sumbawanga tuone kama hakijajaa slums
Bukoba itaendelea kubaki kuwa Kijiji Kwa Miji na Majiji ya Kusini.Sasa sijui watasema Nini kuhusu Bukoba...maana stendi ndo hiyo na zinajengwa mbili...
Huku Barbara ya njia nne...
Na national housing hao wanakuja na Bukoba commercial complex bila kusahau Bakwata commercial complex
Huku vyuma hivyo ni mwendo wa kudesgn gorofa za aina yake makambako tc kibiashara zaidiBwege!! kwa nini huko kwenu maporini hizo ghorofa unazodharau zisiwepo?
Nikiripoti kutoka mkoa maskini nchini😂Huku vyuma hivyo ni mwendo wa kudesgn gorofa za aina yake makambako tc kibiashara zaidi
View attachment 2854790
View attachment 2854795
Vijiji vya mkoa wa Kagera...Bukoba itaendelea kubaki kuwa Kijiji Kwa Miji na Majiji ya Kusini.
Kazi inaendelea 👇
View: https://twitter.com/GiftKimaro7/status/1739995744067793394?t=gN1BV9nKmWeHcg9U_5G9lg&s=19
Nadhan Hilo nilisha kupa jibu kuwa vitu kama hivyo now si vya kujivunia tena maana vimezagaa Kila kono mkoa wa njombe ko HiYo kwetu si hoja tena sisi now ni mwendo wa viwanda na mijengo ya kwenda juu kuanzia floor nne maana miji inayo kua kwa Kasi now Dunian ni Ile inayo jikita na viwanda na biashara ikifuatiwa na ya utalii Sasa njombe kupitia uwepo wa madin ya liganga na mchuchuma na uwepo wa utajir wa malighafi viwandani wameamua kuteua mji wa makambako uwe wa viwanda na biashara na hii tuNikiripoti kutoka mkoa maskini nchini😂
Kijiji cha kitendaguro Bukoba...
View: https://www.instagram.com/p/C1Wqwr0N4HG/?igsh=MTc4MmM1YmI2Ng==
Kila Kijiji Tzn hii kina nyumba 2,3 nzuri.
😁😁😁😁Nikiripoti kutoka mkoa maskini nchini😂
Kijiji cha kitendaguro Bukoba...
View: https://www.instagram.com/p/C1Wqwr0N4HG/?igsh=MTc4MmM1YmI2Ng==
Unafikiri hayo mambo hayafanyiki Bukoba? Sio..Nadhan Hilo nilisha kupa jibu kuwa vitu kama hivyo now si vya kujivunia tena maana vimezagaa Kila kono mkoa wa njombe ko HiYo kwetu si hoja tena sisi now ni mwendo wa viwanda na mijengo ya kwenda juu kuanzia floor nne maana miji inayo kua kwa Kasi now Dunian ni Ile inayo jikita na viwanda na biashara ikifuatiwa na ya utalii Sasa njombe kupitia uwepo wa madin ya liganga na mchuchuma na uwepo wa utajir wa malighafi viwandani wameamua kuteua mji wa makambako uwe wa viwanda na biashara na hii tu View attachment 2855132View attachment 2855133View attachment 2855134