Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Bora hata Iringa hapo mjini kwa sababu ya majengo marefu japo hamna ghorofa nyingi kulinganisha na bk, ila huko kijijini sumbawanga hata sipawazi
Hawa kawii kukimbilia kwenye Chaka lao la tetemeko la ardhi na uwanja wa ndege kama sehemu zingine hawajengi
Mlikuwa mnakimbilia kwenye stendi, sasa hivi zinajengwa mbili kwa Mkupuo mnaanza kuhangaika hamna pa kukimbilia 🤣🤣
 
Mlikuwa mnakimbilia kwenye stendi, sasa hivi zinajengwa mbili kwa Mkupuo mnaanza kuhangaika hamna pa kukimbilia 🤣🤣
Sasa sijui watasema Nini kuhusu Bukoba...maana stendi ndo hiyo na zinajengwa mbili...
Huku Barbara ya njia nne...
Na national housing hao wanakuja na Bukoba commercial complex bila kusahau Bakwata commercial complex
 
Attachments

  • Screenshot_20231223-190550.png
    Screenshot_20231223-190550.png
    1.3 MB · Views: 2
Sasa sijui watasema Nini kuhusu Bukoba...maana stendi ndo hiyo na zinajengwa mbili...
Huku Barbara ya njia nne...
Na national housing hao wanakuja na Bukoba commercial complex bila kusahau Bakwata commercial complex
[emoji23][emoji23] Kichaka chao kimefyekwa
 
Sasa sijui watasema Nini kuhusu Bukoba...maana stendi ndo hiyo na zinajengwa mbili...
Huku Barbara ya njia nne...
Na national housing hao wanakuja na Bukoba commercial complex bila kusahau Bakwata commercial complex
Hivi nyie maskini wa Kagera Kwa nini hamjui ku post picha?
Screenshot_20231223-190550.png
 
Mlikuwa mnakimbilia kwenye stendi, sasa hivi zinajengwa mbili kwa Mkupuo mnaanza kuhangaika hamna pa kukimbilia 🤣🤣
Huko tulishahama naona maskini wa Kagera mnakimbizana ku catch up

Saizi tuko kwenye barabara na magorofa.

Swax kiboko ya Bukoba fishing Village
IMG_20231226_104533_323.jpg
IMG_20231226_104545_352.jpg
 
Sasa sijui watasema Nini kuhusu Bukoba...maana stendi ndo hiyo na zinajengwa mbili...
Huku Barbara ya njia nne...
Na national housing hao wanakuja na Bukoba commercial complex bila kusahau Bakwata commercial complex
Bukoba itaendelea kubaki kuwa Kijiji Kwa Miji na Majiji ya Kusini.

Kazi inaendelea 🔥🔥🔥

View: https://twitter.com/GiftKimaro7/status/1739995744067793394?t=gN1BV9nKmWeHcg9U_5G9lg&s=19

View: https://youtu.be/qwrOjc76Pag?si=MhRzzApfUU2iDkMq
 
Nikiripoti kutoka mkoa maskini nchini😂
Kijiji cha kitendaguro Bukoba...

View: https://www.instagram.com/p/C1Wqwr0N4HG/?igsh=MTc4MmM1YmI2Ng==

Nadhan Hilo nilisha kupa jibu kuwa vitu kama hivyo now si vya kujivunia tena maana vimezagaa Kila kono mkoa wa njombe ko HiYo kwetu si hoja tena sisi now ni mwendo wa viwanda na mijengo ya kwenda juu kuanzia floor nne maana miji inayo kua kwa Kasi now Dunian ni Ile inayo jikita na viwanda na biashara ikifuatiwa na ya utalii Sasa njombe kupitia uwepo wa madin ya liganga na mchuchuma na uwepo wa utajir wa malighafi viwandani wameamua kuteua mji wa makambako uwe wa viwanda na biashara na hii tu
FB_IMG_16733261264850101.jpg
1695873917434.jpg
FB_IMG_16867767601789515.jpg
 
Nadhan Hilo nilisha kupa jibu kuwa vitu kama hivyo now si vya kujivunia tena maana vimezagaa Kila kono mkoa wa njombe ko HiYo kwetu si hoja tena sisi now ni mwendo wa viwanda na mijengo ya kwenda juu kuanzia floor nne maana miji inayo kua kwa Kasi now Dunian ni Ile inayo jikita na viwanda na biashara ikifuatiwa na ya utalii Sasa njombe kupitia uwepo wa madin ya liganga na mchuchuma na uwepo wa utajir wa malighafi viwandani wameamua kuteua mji wa makambako uwe wa viwanda na biashara na hii tu View attachment 2855132View attachment 2855133View attachment 2855134
Unafikiri hayo mambo hayafanyiki Bukoba? Sio..
Hawa hapa wahaya wanajadiliana jinsi ya kuwekeza mkoani kwao...unasimama unasema unataka kuwekeza Nini mkoani Kagera...
Halafu watu wa kusini huko Bado sana kwa wahaya...huwa tunawazoom tu...wahaya hawafanyi biashara za uchuuzi kariakoo siku hiz wanamiliki viwanda na mahekari ya mashamba....
Msikilize huyu jamaa...na mwakani wanajenga hotel ya nyota Tano katikati ya mji wa Bukoba

View: https://www.instagram.com/reel/C1WBa9SNOhn/?igsh=MTc4MmM1YmI2Ng==
 
Back
Top Bottom