The Great Haya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 1,773
- 1,660
Bora hata Iringa hapo mjini kwa sababu ya majengo marefu japo hamna ghorofa nyingi kulinganisha na bk, ila huko kijijini sumbawanga hata sipawazi
Mlikuwa mnakimbilia kwenye stendi, sasa hivi zinajengwa mbili kwa Mkupuo mnaanza kuhangaika hamna pa kukimbilia 🤣🤣Hawa kawii kukimbilia kwenye Chaka lao la tetemeko la ardhi na uwanja wa ndege kama sehemu zingine hawajengi