Kahama VS Njombe/Mafinga

Utaisha tuu
Benki ya Dunia (WB) inadaiwa kusitisha kutoa Fedha kwa ajili ya Mradi wa REGROW Nchini Tanzania kufuatia Madai ya Ukiukwaji wa Haki za Binadamu yaliyoibuliwa na Taasisi ya Oakland iliyoko Marekani

Mradi huo wa Dola za Marekani Milioni 150 (Tsh. Bilioni 386.6) ulianza Mwaka 2017 kwa lengo la kuendeleza Rasilimali za Utalii Kusini mwa Tanzania, lakini Utafiti wa Taasisi ya Oakland wa Mwaka 2023 ulidai Fedha zilitumika kufadhili Uhamishaji na Ukiukwaji wa Haki Za Binadamu dhidi ya Jamii zinazoishi karibu na Hifadhi ya Taifa ya Ruaha (RUNAPA)

#nahapaipo
#maishayakomuzikiwako
#maishayakomaishayetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…