Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moja ya Barabara muhimu itakayo unganisha lupembe na makambako kwa km chache Sana km 39 ikikamilika na ya lupembe hadi mlimba gari nyingi zitapita hii Barabara maana ni Barabara yenye makazi ya kutosha tofauti na ya kibena eneo kubwa ni msitu wa tanwat na hii Ina km 15 hadi kuungana na ya lupembe hadi kidegembye km 25 wakati ya kibena hadi kidegembye ni km 41 ko hii ya mtwango Ina distance fupi kuliko kuzungukia kibena gari za kutoka ukanda wa mbeya zikifika makambako zitakuwa Zina select zipite Barabara ipi ya iringa au lupembe mji wa makambako unaenda kukua zaidi 👇👇👇👇👇View attachment 3004814"MBUNGE SWALLE AHOJI UJENZI WA LAMI KUTOKA MTWANGO IKUNA HADI KIDEGEMBYE - YouTube"
View: https://m.youtube.com/watch?v=sScuUg5Olv8
ILa itasaidia sana ni short cut na inamakazi mengi kuliko Ile ya kibena eneo kubwa ni msitu wa tanwat sema labda mkoa uangalie kupandisha hadhi iwe chini ya tanroad ni kutoka mtwango hadi kuunganisha HiYo Barabara ya lupembe ni km 15 tuHiyo Iko chini ya TARURA Sasa magari makubwa ya zaidi ya tani 10 hayataruhusiwa maana Tarura hawajengi lami zaidi ya hapo.
Magari makubwa yote yataputa Barabara kuu na kipaombele Cha Serikali Kwa lami ni Barabara kuu hizo za TanRoads ambapo hiyo ya Njombe(Kibena)-Ifakara-Turiani-Handeni kmepandishwa hadhi na kuwa Trunk Road
Soko la Kanda nyanda za juu kUsini kujengwa makambako👇👇👇👇👇"ENEO LA SOKO LA KIMATAIFA MAKAMBAKO LATENGWA - YouTube"
View: https://m.youtube.com/watch?v=MoIM90i1t7U&pp=ygUXc29rbyBsYSBtYXphbyBtYWthbWJha28%3D
Hilo ni soko la kanda lenye hadhi ya kimataifa Lita deal na mazao mbalimbaliSoko la Kimataifa ndio nini hasa? Sijaelewa.
Soko la Kanda la nini?Hilo ni soko la kanda
La mazao mbalimbaliSoko la Kanda la nini?
Wakati huo huo cold rooms wanajenga Mbeya na Njombe Airport,hao wawekezaji watajiongeza Kwa gharama za transport au?La mazao mbalimbali